Makapuku Forum

Makapuku Forum

Goodmorning le family letu pendwa ...

Pole sana shunie kwa maswahibu yalikukuta jana ...Mungu yuko nawe katika kipindi hiki kigumu muhimu kuwa na nguvu ya imani ...pole sana

NOTE: shunie jana amefiwa na babu yake ,hajakaa sawa na mjomba wake akafariki ...tumuombee
Wapumzike kwa amani babu na Mjomba

Na Mungu akamtie nguvu
 
1923 - Mwanadiplomasia Henry Kissinger anazaliwa.

Ni Mmarekani mwenye asili ya Ujerumani ambaye amewahi kuhudumu kama Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani.

Anatajwa kama Waziri bora kuwahi kutokea katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani.

Ndiye mtu aliykuwa nyuma ya kumalizika kwa vita ya vietnam na kumfanya apokee tuzo ya nishani ya Nobel.
HBD Henry
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom