Makapuku Forum

Makapuku Forum

1909 - Sir Matt Busby anazaliwa.

Kocha wa zamani wa Man Utd kutokea Scotland.

Alikuwa na kikosi hatari kilichojulikana kama " The busby babes " ambapo kilipata ajali ya ndege mwaka 1968 huko Munich, Ujerumani.

Ni kocha mwenye heshima kubwa baada ya Sir Alex Ferguson.
959eaf53c0de93f1e34022c9ebb706ec.jpg
5693686daa1698826715af95f389a89b.jpg

Jina lake kamili ni Alexander Matthew"Matt" Busby
59c5127351554143eb72b436b4cdb5fa.jpg

Hii ni sanamu aliyojengewa
cce63c8afa92959205df7fa1a92dd179.jpg
Akiwa na watoto wake "The Busby Babes" ambao walisumbua Uingereza ma Ulaya pamoja na dunia kwa ujumla kutokana na soka walilokuwa wajitabdaza
e8bd27c8c49e68eaab2c74081de39be2.jpg

Baadhi ya wahanga wa ajali ya Munich
....
 
1941 - Aldrich Ames anazaliwa.

Jasusi wa zamani wa CIA ambaye anatumikia kifungo cha maisha kwa makosa ya kuuza siri za nchi.
45fe857211f2a7916cda08dc1a79c2db.jpg
c39ae6433a3727c70af3b0c229a1f049.jpg
0b3d533bf0ed90a6d4a5febd6a22ab31.jpg

Mwaka 1994 alitiwa ndani na kutupwa jela maisha bila uwezekano wowote ule wa kusamehewa wala kupunguziwa adhabu

Ndiye Jasusi mmbea zaidi wa CIA katika historia ya kizazi cha karibuni na pengine muda wote
Alivujisha siri kibao kubwakubwa kwa Waridi
......
 
YEREMIA 29

13.Nanyi mtanitafuta na kuniona,mtakaponitafuta kwa moyo wenu wote.

MUNGU anataka tumtafute kwakweli,bahati mbaya sisi mara nyingi tunamtafuta MUNGU pamoja na mambo mengine na vitu vingine vinavyoonekana na kutuvutia kwa macho yetu kwa muda mfupi .
Tujitahidi kufumbua macho ya rohoni na kumruhusu Mungu atuonyeshe alichopanga tupate,tuhesabu baraka,uumbaji,upendo,amani,afya na mambo mengi aliyotupa bila hata kuomba.tumshukuru Mungu kwa yote anayotutendea.

Shalom SIKU NJEMA
 
Amen
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom