Makapuku Forum

Makapuku Forum

Domourinho lazima achpnge maana dhsrau zilizidi
e0a90f2719b717396981eee0521cd714.jpg
5eaaab03be5e6160365949b199decb1c.jpg

.
.
.
.
Shukrani mdau kwa magazeti
.....
.
 
NUKUU YA LEO.

I have gone to join Ken, if I am that lucky.


Nimeondoka kumfuata ken, nina bahati katika hilo.


Muendelezo wa nukuu ya suicide note ya kevin Carter. Party 3

Tarehe 11 mwezi March 1993 Kevin Carter anafika eneo la Sudan kusini wakiwa na Joao Silva. Walienda sudan wakiwa na vikosi vya umoja wa Mataifa wakati wa njaa kubwa nchini Sudan.Wakiwa kwenye shughuli zao za kawaida ulifika muda vikosi vinagawa chakula , huu ndio ulikuwa muda wa kina kevin na silva kupiga picha.

Inasemekana hapa ndio Kevin Carter anakutana na mtoto mwenye njaa akiwa ameshindwa kutembea kwenda kwenye foleni ya kupokea chakula, wakati huo huo anakuja Kunguru anayeonekana kutaka kumla yule mtoto mdhoofu.

Kevin Carter anampiga picha mtoto akiwa hawezi kutembea na amejiinamia kuonyesha kuwa hawezi tena kutembea wala kuinuka, nguvu zimemuishia na wakati huo huo Kunguru anajongea kwa nyuma tayari kwa kumfanya mtoto kitoweo.

Kevin Carter anakauza hiyo picha kwa jarida la The New York Times, na kwa mara ya kwanza tar, 26 march 1993 picha hiyo inachapishwa. Magazeti mengi yanaichukua na kuichapisha yakionesha kuuzunishwa na hali ya mtoto huyo.

Kuanzia tarehe 27 march 1993, watu wengi ulimwenguni wanawasiliana na gazeti la The new york times kama Yule mtoto alifanikiwa kufika kwenye kituo cha ugawaji wa chakula, Tarehe 30 march 1993 gazeti linatoa majibu kuwa mtoto alisimama kuendelea na safari baada ya mpiga picha kumfukuza kunguru ila bado haifaamiki kama alifika kituoni.

3799486fe885344c57b91793ea987b98.jpg
b97ff338cb8b019845309f68dfda0aac.jpg


To be continued in 10 hours to come.
Msongo wa mawazo ni kitu kibaya hasa mtu akikosa wa kumfariji
Kevin alijiua baada kushindwa kuhimili stress
.
.
.
.
Shukrani kwa nukuu
.....
 
Unbeliavable facts

The youngest soldier in WW1 was Momčilo Gavrić who joined the Serbian army as an 8-year-old when his parents, grandmother, 3 sisters and 4 brothers were killed by Austro-Hungarian soldiers. He was later promoted to Corporal and again later to Lance Sergeant when he was 10 years old.


Momčilo Gavrić, the Youngest Soldier of WWI, Joined the Army at Age of Eight
Pole sana kwa kupoteza familia ambayo huwezi hata siku moja kupata mpya,wakiondoka wameondoka..Mungu awapumzishe kwa amani.

Hongera kwa kujiunga na jeshi katika umri mdogo sana,naamini alikua na bidii hata kupandishwa cheo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom