Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Bado wewe sasaHongera maana naona kila mmoja anajitwalia wake
Bado wewe sasaHongera maana naona kila mmoja anajitwalia wake
Jana nimepata kaajari kadogo mkuu ndo alikuwa ananishauri niende hospitalNini ilikuwa mbaya?
Mi Hata wazo sinaBado wewe sasa
Ajali ilikuwa ya nini?Jana nimepata kaajari kadogo mkuu ndo alikuwa ananishauri niende hospital
Unataka kuwa Padre?Mi Hata wazo sina
Pikipiki na gariAjali ilikuwa ya nini?
Hapana ila huwa niko hivyoUnataka kuwa Padre?
Mkuu pole sana pikipiki na gari na bado unasema ni minor injury!!! Ni vyema ulivyopata tibaPikipiki na gari
Asante mkuu maana walio kuwa karibu walijua nimepoteza fahamu lakini nikawambia niko sawa na baada ya kujiridhisha ninacho sema wakaniruhusu niondoke na nilovyo rudi jioni nikawapitia ila niwambie ndo narudi niko salama walishangaa kuniona nimerudi naendesha mwenyeweMkuu pole sana pikipiki na gari na bado unasema ni minor injury!!! Ni vyema ulivyopata tiba
Mkuu Kinyerezi unakaa maeneo gani nikija nikutembelee nikuletee nyanya za AljaziraKuna ule ugonjwa Mzumbe unaitwa Zongweliasis Mzumbeata... Yan sura inavimba utadhani ulivamiwa na majambazi na kupewa kipondo.
Mpe zawadi yake sasa
Ma mkubwa upo?Niambie mdogo wangu
Mkuu Kinyerezi unakaa maeneo gani nikija nikutembelee nikuletee nyanya za Aljazira

Vipi nyagei na wewe wataka?
Mama mchuchu ebu mpe flowers binamu yangu nae ajisikie usimkatili hivimpaka anasema ye kazoea asante tu
![]()
![]()
kwahiyo umeamua kumwalibia binamu yako kabisa
Hahaa mm bado natembeza dozi..Usiku mwema Makapuku, mlale salama
Msione sijalala, naendesha kwa umakini, kama dereva aliyekodi gari. Sijui kile chakula cha kwenye shughuli waliweka nini?