AmenZABURI 71
8.Kinywa changu kitajazwa sifa zako, Na heshima yako mchana kutwa.
TUOMBE
Asante Baba kutuamsha salama.
Tunajikabidhi mikononi mwako,utulinde,utuongoze,utuponye.
Neema yako yatosha.![]()
Amen
MBARIKIWE SIKU NJEMA![]()
![]()

Vp hny pole na kazi,mic uu!!Shukrani mkuu
Kaka huyoHabari zenu humu ndani
Mkuu lilikuwa ni bonge la gameBonge la mechi. Leo katika super sport 3 imerudiwa kukoleza maandalizi ya final kati ya Madrid na juve trh June 3.
Mzima dada wa mimiKaka huyo
Poa kabisa hbr ya hkoJamani mko njema makapuku wenzangu????
Cjambo hbr ya uzimaMzima dada wa mimi
Huku kwema kbisaaaPoa kabisa hbr ya hko
Njema kabisa dadangu habr ya hapo ulipoCjambo hbr ya uzima
Ahsante mkuu Shululu japo nimekopi na kupestAsante Tmuller kwa hekima ya leo