Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
unaenda wapi sasa si ilikua kazi yako hii
unaenda wapi sasa si ilikua kazi yako hii
Alafuuuu weweushauri upi ameshasema patamu
cc: fulani![]()
Wale mlio kwenye ndoa
Kazi kwenu
......

Naomba alinganishe na mondray alafu atoe makiiiiisiiiii
mondray kasema kaka akeeNaomba alinganishe na mondray alafu atoe makiiiiisiiiii

kwahiyo chochote anachoongea unaaminilee hata akiongea uongo me naamini
AsanteTUPATE MAGAZETI YA LEO SASA
Nimecheka sana ila we mtu Mungu anakuonaEbu maliziaa
Alafu naomba pesa yangu aiiseeeh
Itamjia soonDhawadi?![]()
na kwako piaPamoja sana wadau
Tukutane saa 12 kwenye 10 kubwa
Jioni njema
......
Nimefurahi sana kusikia kuwa upoNipo mama mchuchu ..mbona mtanichokaa nisharudiiii
Aiseee najua nimeachika basi inatoshaAminiiiii kwani kuna shunie na lee ??
![]()
![]()
![]()
Amen asanteNimeamka salama Blessed. Uwe na siku njema
Hauna kosa mamiiahaha cuzoo shedede alikua na gundu kila akitongozwa anaangukia pua
na husna si unajua yalimkuta kwa bamdogo na uzi akamwandikia bamdogo akakamatika kwa jimama lake akaachwa
nikamwambia husna eb onana na shemeji yangu mfarijiane basi ndio wakapendana kimoja cuzoo mm kosa langu nini
AmenWAFILIPI 4
4.Furahini katika Bwana siku zote tena nasema furahini,
5.Upole wenu na ujulikane kwa watu wote.Bwana yu karibu.
6.Msijisumbue kwa neono lolote ;Bali katika kila neno kwa kusali na kuomba,pamoja na kushukuru,haja zenu na zijukikane na Mungu.
7.Na amani ya Mungu ,ipitayo akili zote,itawahifadhi mioyo yenu na nia zenu katika Yesu Kristo.
Amen![]()

sijakuelewaMungu anakuonaa
Shedede ulimtongoza wewe ??
Hivi baba mchuchu hapo kati ni nini
Njoo chukua hapa ClocktowerEbu maliziaa
Alafu naomba pesa yangu aiiseeeh
inabidi umwelewe tusijakuelewa hata
HapanaAhahahahahahaaaaa ntafanyajeeee sasa ??
Sorry eti na wewe unajaza na kujazwaa ??
huo mtandao nilishahama kwa mambo yao yakipumbavu ,hawawezi nivunjia heshima kiasi hichoo