Asante sana*Hekima ya leo
```Kile ambacho mwanaadam amekihifadhi moyoni mwake ipo siku atakizihirisha kwa watu```
""Basi yapasa watu wahifadhi yaliyo mema na Mazuri juu ya nduguzo; kwani huenda unaemuona mbaya na kumchukia akawa ndiyo mwema wako na mwenye mapenzi na wewe na huenda unaempenda ukamuona anakusamini na ndiye muovu wako, ufanye moyo wako uwe nadhana njema juu ya nduguzo ilikitapo dhihirika kilichopo moyoni mwako kiwe Ni chema juu yao;
_Na mwenye kutaka kukutana na mola wake akiwa Salama na mwenye kuriziwa na mola wake; Aongeze mizani yake kwakufanya yaliyo mema!
Asubuhi njema!
Cuzoo tena nilikua nataka nikusake hivi shemela wangu Nyagei umempeleka wapi toka jana haonekani humuKwa una mpango gani wa kando na Nyagei
pole sana na karibu tenaBack again,wakuu mambo yanaendaje humu nilipotea kidogo kutokana na matatizo ya hapa na pale.
Ameen mama mchuchuZABURI 71
8.Kinywa changu kitajazwa sifa zako, Na heshima yako mchana kutwa.
TUOMBE
Asante Baba kutuamsha salama.
Tunajikabidhi mikononi mwako,utulinde,utuongoze,utuponye.
Neema yako yatosha.
Amen
MBARIKIWE SIKU NJEMA
hbd daniel1953 - Daniel Passarella anazaliwa.
Alikuwa ni beki kisiki wa kati wa timu ya taifa ya Argentina.
Mmoja kati ya mabeki bora kuwahi kutokea.
Alifunga magoli 134 na kuwa beki wa pili katika orodha ya mabeki waliofunga magoli mengi zaidi nyuma ya Ronald Koeman ambaye kwasasa ni kocha wa Everton.
Ni mchezaji pekee wa Argentina kutwaa Kombe la Dunia mara mbili mwaka 1978 wakiwa nyumbani na 1986 pale Mexico.
Asante Mussolin kwa historiaLeo Katika Historia:
Niwatakie siku njema.
Asante kwa picha madenge
Huku kwetu wanapotea watu wazima km Ben Saanane
.
.
.
.shukrani mkuu kwa historia
Nikutakie siku njema
........
Kuna cha kuthibisha hapo na wakati umeshaambiwa kila kituShunie thibitisha tafadhali
kaka za kwakoUmeamkaje mkuu
wasi wasi upii kuwa hatuna mtoto auNina wasiwasi juu ya uwepo wa huyu mtoto
Ni kweli me ni chelsea nipo kwa mkopoShunie Nakukumbusha wewe ni Chelsea ha ha ha ha ha ha.
me ni chelsea jamanKwa hio na Shunie yumo katika waliopewa hongera.
hahahhh nimecheka kwa sautiRafik kipenz
Kama ni shabiki wa man double touch inamhusu ..apongezwe aachikee
nipo miminamchora tuu
Marhaba lee queenDadii akee shikamoo
Chekaa tuuhahahhh nimecheka kwa sauti
Uwepo milelenipo mimi
acha tuwape tu hongera baby hakuna namnaongera zao