Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
MkuuuHusna muba mwambie akuombe radhi aisee
MkuuuHusna muba mwambie akuombe radhi aisee
Asanteeeeee . ...Link hiyo hapo Mrs. Shedede. With love, respect and appreciation!
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1108581/
Nenda mwayaNgoja na mie niende
[emoji2] [emoji2] na mimi nipo hapa naangaliahahahaha [emoji124] ebu mie nikaangalie mpira
Ndioooi mi nasoma kimya kimyAa[emoji23]kwahiyo na we unapitaga kimya kimya
Samahani nimeskip pages rafiki kipenzi ila naomba uniambie kiroho safi kama umemtongoza shunieHaelewi huyo Msamehe
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha... Ngoja nikusaidie[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] binamu hurumia mbavu zangu nacheka kama chizi ujue
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama mateja vile tuna tabu c kdgo
Mh anaanzajeSamahani nimeskip pages rafiki kipenzi ila naomba uniambie kiroho safi kama umemtongoza shunie
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] imeniumaa ila basi tuNi lee ndio aliniambia kuwa unamtaka eti
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Samahani nimeskip pages rafiki kipenzi ila naomba uniambie kiroho safi kama umemtongoza shunie
imekuuma nini sasa kuambiwa hivyo na lee au kwa nini nisiumie mimi[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] imeniumaa ila basi tu
Cjui mi nshasahauhivi ni mimi ndio nilisema au ni lee
Mambo vip afande shededeMkuu shululu uko poa ??
Leo umekuja umenikuta nipo ngangali
Wanataka nini ...alafu naanzia wapiii kukuacha baby swty kipenda rohooooMh anaanzaje
jamaan ujue wakina husna na shedede wananicheka kuwa umeniacha
Tatizo demu wake mwenyewe hajui kumdekezaaHaswaaaa
Wanawake hawaitwi makuwadi..... Makuwadi ni wanaume wanaowatongezea wenzao hali ya kuwa wao pia ni wanaume.Kosa lako kuwa kuwadi cuzoo[emoji23] [emoji23]
Muziki Bila Sababu
Habari Makapuku!
Kutokana na sababu zilizo ndani ya uwezo wangu, sitaweza kuongelea utamu wa gitaa kwa leo. Tupo na profesa Muongoo tunaandaa kushawishi iletwe ripoti ya ununuzi wa meli MV daslam.
hata hivyo kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu siwezi kuwaaga bila kuwaachia ka-gitaa na kisauti cha mwanamama mtamjua mwenyewe.
Nyie ni watu bora kabisa kutumia wakati wenu nami jioni na usiku huu. LLL
Usicheke make wanaume wa umu nawajua[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Asante kwa kumwambia shemelanimeshamwambia shemela