Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,297
Utakuwa una-edit story??Sema Mhaya. Nogambaki?
Utakuwa una-edit story??Sema Mhaya. Nogambaki?
Haya mamaa shededeKeshapoa
Yashaisha hayooshedede kaptikana kushushua tena kiruuuu
Calm down bby wangu
Nimeshamjibu Shunie.Typing error
Mkuu shululu uko poa ??Husna muba mwambie akuombe radhi aisee
Kwa sharti moja. Zikiwa pumba napiga chini na jina lako nalitoa kabisa. Huwa sina uvumilivu na mediocrity!Utakuwa una-edit story??
Muziki Bila Sababu
Habari Makapuku!
Kutokana na sababu zilizo ndani ya uwezo wangu, sitaweza kuongelea utamu wa gitaa kwa leo. Tupo na profesa Muongoo tunaandaa kushawishi iletwe ripoti ya ununuzi wa meli MV daslam.
hata hivyo kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu siwezi kuwaaga bila kuwaachia ka-gitaa na kisauti cha mwanamama mtamjua mwenyewe.
Nyie ni watu bora kabisa kutumia wakati wenu nami jioni na usiku huu. LLL

UnAanza sasakama umechefukwa tapika aisee ila shedede umepatikana
Tayari me mwenzio nshapita kulehahhaaha hivi ibra kapost leo
Haya mwambie aje link hii hapa. Shemeji mwenyewe mh!!!hahahhha bora umsaidie shemeji yake
Basi yaisheeya kupendana mbona mkali hivi
Sio upupu aiseeMhaya - producer
Msukuma - editor
Ikiwa ni upupu nita-edit na kubadilisha kila kitu na hata kuondoa jina lako kabisa. Huwa sipendagi mchezo mimi!



Tunaisubiri kwa hamuEeeh hapa hapa shem
Nawaonaga mnavyohangaika kule kw a kina lege ibra n.kAkaandke tu me naandaa mkeka wa kukalia wakati wa kuisoma,cio kwa uroho wa stori huu
Kwaiyo mi nawewe nani atakuwa ndo boss sasaKwa sharti moja. Zikiwa pumba napiga chini na jina lako nalitoa kabisa. Huwa sina uvumilivu na mediocrity!

PoaAisee nenda entertainment kasearch
Kwani na we unataka?akikupa link unitag plz
Lete tuone. Unafikiri hata kama ni upupu wewe utauona?Sio upupu aisee![]()