Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mimi fala kweli badala ya kujitahidi kukariri mistari, naungana na mjombaangu lee empire kuongelea masuala ya waganga wapiga ramli. Ona sasa kilichonikuta

Afu namlaumu mjomba tu kwa kweli
Bhinamuuu unanionea bure yote ilikuwa ni kutafuta njia mbadala japo siamini katika ule usemi wa wajinga ndio waliwao la mwajuma ....tulijitahid mambo ya kazi yakaka sawa na mtaalam alisema kwa mama blessed njia zake hazifui dafu tukapanga uanze kumeza mistari ya bible

Yote kumi kum na moja na wewe ule wimbo wako uliokuwa umesave kama call tone kwenye kitekno chako ulikuponza ...nakumbuka ulikuwa unasema ""nimezunguka tanzania baraaa..unguja na pemba nimefika ..sijawaona warembo wenye sifa wenye kujipamba wakapambika ajhaa...kwa hiyo nyie kapuku wangu (uliedit) siangaiki na suraaa ...
 
Aisee mambo ya Obe hayo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom