Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,405
"...shedede alikua na gundu kila akitongozwa anaangukia pua..."ahaha cuzoo shedede alikua na gundu kila akitongozwa anaangukia pua
na husna si unajua yalimkuta kwa bamdogo na uzi akamwandikia bamdogo akakamatika kwa jimama lake akaachwa
nikamwambia husna eb onana na shemeji yangu mfarijiane basi ndio wakapendana kimoja cuzoo mm kosa langu nini
Shedede duh! Anatongozwa halafu tena anapigwa chini?

♂️