Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Inawaka tena kwa solar

Inawaka tena kwa solar

Mimi fala kweli badala ya kujitahidi kukariri mistari, naungana na mjombaangu lee empire kuongelea masuala ya waganga wapiga ramli. Ona sasa kilichonikuta
Afu namlaumu mjomba tu kwa kweli
binamu hurumia mbavu zangu nacheka kama chizi ujue
Ziwe nzuriStory zipo aisee ngoja niziongezee ujuzi tu
lee njoo umpige picha huyu
Km unataka kuchambwa mwambieWapiii sasa jamaniii
Aiseeeh kama ustaarabu ungekuwa unauzwa sijui
Hapa kwenye daladala la kwenda mtakuja nimebahatika kupata siti ila kuna mrembo kasimama na mimi nilivo nundaz sijamuulumiaa eti akae
Ila navomchungulia naoa kwenye kwapa ana bonge na manyweleee
Sijui nimkumbushe ..ila mrembo kaumbika tatizo hilo tu
Mh unataka kutukamata wapenda story mke mwee unamuona huyu
Kosa lako kuwa kuwadi cuzooahaha cuzoo shedede alikua na gundu kila akitongozwa anaangukia pua
na husna si unajua yalimkuta kwa bamdogo na uzi akamwandikia bamdogo akakamatika kwa jimama lake akaachwa
nikamwambia husna eb onana na shemeji yangu mfarijiane basi ndio wakapendana kimoja cuzoo mm kosa langu nini

Gangamala mkuu....labda tamaa inikatie tamaa yenyewe

AnajazwaaaChief kuwa mkweliiii
Kama unajazwaa sema
ebu jibu basi pale kati vipiiii
Mimi fala kweli badala ya kujitahidi kukariri mistari, naungana na mjombaangu lee empire kuongelea masuala ya waganga wapiga ramli. Ona sasa kilichonikuta
Afu namlaumu mjomba tu kwa kweli



aiseeNataka kuonana na mods nimeambiwa wapo huku

ahahhhKosa lako kuwa kuwadi cuzoo![]()
![]()
Kanywa bange mbichi huyooMh toka lini tena haya ya kutakana
umemcopy nani na we tujue kabisaitabidi niwe nampa shimba awe anazi-edit afu anawapa nyie hapo tutaenda sawa sio![]()
Mimi-producer
Msukuma-editor
Patamuebu jibu basi pale kati vipiiii

Mbembeleze Lee muyajenge![]()
![]()
kumbe umemsoma
Mke wa shululu huyo shululu ni shemela wangu kwahiyo ni mke mwenzangu kingineUke wenza unakuja vip sasa![]()