Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Sidhani kama anajua ku-search. Yeye anajua kum-search Shedede tu. Ngoja nimtafutie hiyo linkAisee nenda entertainment kasearch



Aiseee nitake radhi shululu ni shemeji yangu naheshimiana nae sanaBasi we utakuwa unachepuka na shululu ndio maana unamuita tumosa Mke mwee
Afu inavyoonekana mpaka muwe wanne ndo mui-hug properly![]()
![]()
shemela mashine hzo ukzhug znakupa soda bure ss kwann zsihugiwe
Sema Mhaya. Nogambaki?Hahahaha msukuma![]()
waelezee mke mweeHuu uchochezi sasa,mke mwenzio cio lazima awe mke wa mumeo anweza kuwa mke wa shemejio
Ni![]()
![]()
![]()
![]()
haka kAshimba kalinyuti kakisubiri uje kakuchokozeee
au unanizunguka mbuyu ujue mm ninapigwa vita na wengi sema mm jeshi la mtu mmoja

Nimtani wangu huyo
hahahhha bora umsaidie shemeji yakeSidhani kama anajua ku-search. Yeye anajua kum-search Shedede tu. Ngoja nimtafutie hiyo link![]()
au unanizunguka mbuyu ujue mm ninapigwa vita na wengi sema mm jeshi la mtu mmoja

Husna muba mwambie akuombe radhi aiseeAiseee nitake radhi shululu ni shemeji yangu naheshimiana nae sana
nimeshamwambia shemelaHusna muba mwambie akuombe radhi aisee
Mhaya - producer
Msukuma - editor
Ikiwa ni upupu nita-edit na kubadilisha kila kitu na hata kuondoa jina lako kabisa. Huwa sipendagi mchezo mimi!

Ndio umwambie mumeo kama kaicopy usalama wake asiilete
Typing error"...shedede alikua na gundu kila akitongozwa anaangukia pua..."
Shedede duh! Anatongozwa halafu tena anapigwa chini?