Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
kama umechefukwa tapika aisee ila shedede umepatikanaMsonyo huooo
Nimkisi Lee mi Wa nn nawee usinichefuee hapaa
kama umechefukwa tapika aisee ila shedede umepatikanaMsonyo huooo
Nimkisi Lee mi Wa nn nawee usinichefuee hapaa
Utaidrop hapahapa eeeh,naisubiri shemNaenda kuandika story shem kunastory nai-produce wenda nitai-drop
ya kupendana mbona mkali hiviYa nn?
Kwani VP?! Naona unarudia ambalo wenzio walishaliulizakwani sisi tumebisha jaman pendaneni tu hakuna namna ingine
pale kati viiiip![]()
![]()
Aisee! Mke ananunua utani wa mume! Nyie kweli mmekutana. Vipofu wawili wanaojaribu kumpapasa tembo wa mapenzi. Ya Bashite yana unafuu!Unaanza ugomvi lioneeee![]()
Baby endelea mwayaaa usimsikilize huyu bashite tu![]()
So sadeti ni kweli
am happy to hear thatMy daughter..sitaacha kukupenda unanifanya nichekeeeeee muda wote![]()
love u moree mama mchuchu

Akaandke tu me naandaa mkeka wa kukalia wakati wa kuisoma,cio kwa uroho wa stori huuMh unataka kutukamata wapenda story mke mwee unamuona huyu
Muziki Bila Sababu
Habari Makapuku!
Kutokana na sababu zilizo ndani ya uwezo wangu, sitaweza kuongelea utamu wa gitaa kwa leo. Tupo na profesa Muongoo tunaandaa kushawishi iletwe ripoti ya ununuzi wa meli MV daslam.
hata hivyo kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu siwezi kuwaaga bila kuwaachia ka-gitaa na kisauti cha mwanamama mtamjua mwenyewe.
Nyie ni watu bora kabisa kutumia wakati wenu nami jioni na usiku huu. LLL
wewe wasemaKwahiyo mnachangia mume?!
kwani sisi tumebisha jaman pendaneni tu hakuna namna ingine
pale kati viiiip![]()
![]()

Aisee nenda entertainment kasearchAfu shunie kuna story inaitwa Mke Wa rais km una link yake niwekee
akikupa link unitag plzAfu shunie kuna story inaitwa Mke Wa rais km una link yake niwekee
Binamu yako kanichekesha sana
hahhaaha hivi ibra kapost leoAkaandke tu me naandaa mkeka wa kukalia wakati wa kuisoma,cio kwa uroho wa stori huu