Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Pilipili iko shamba cjui inamuwashia nn!!basi waache waendelee kudangayana watajua wenyewe
Pilipili iko shamba cjui inamuwashia nn!!basi waache waendelee kudangayana watajua wenyewe
[emoji4] [emoji4] [emoji4]mimi nimefanya nini we si ndio umesema ataenda kula chips tu sijui ni mwanaume wa dar chips na mayonaise
Sitaki kituUnataka nini
[emoji85] [emoji85][emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
aiseeWaambie hao[emoji23][emoji23][emoji23]baby wangu
mke mwenzanguHivi hiyo mwee*
Inamaanishaga nini??
Mh mama mchuchu unanikanaSema wewe Lee
[emoji2] [emoji2] masikini binamu yangu obe
wacute6/The Harp Twins
Hawa ni wanadada mapacha warembo ambao umaarufu umeongezeka kutokana na video zao zilizojazana huko YouTube![]()
........
jichekee mke mwee vitu vingine vinafurahisha sana[emoji1] [emoji1] [emoji1]
hahahhhKwenye kikoi aisee
Cc.shululuTutaihug hyo mashine mpaka iombe poo
Kinachokufurahisha ni nini eti[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji106]
Blessed Hope huna neno kutoka maandiko? SAA Tisa kamili tupe neno!
kwahiyo umeamua kumkiss kabisa[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] mmfyuuuuu....
Anakusoma tu binamu Obe
uwiiii binamu wala mimi na ww tunavyokupenda [emoji2] [emoji2] wala sifurahii muulize ata mjomba akoUnanionea huruma au, me nakujua hapo unafurahia kishenzi yaani unatamani hata niibiwe simu ili nisiwe nampa hi BH.
Yaani maumivu yangu furaha yako.
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Heee, neno kila wakati, ndiyo neno ni chakula , si nitapata utapiamlo kwa kula neno bila mkate