Makapuku Forum

sasa mbona anasema umemuacha
Wapiii sasa jamaniii

Aiseeeh kama ustaarabu ungekuwa unauzwa sijui

Hapa kwenye daladala la kwenda mtakuja nimebahatika kupata siti ila kuna mrembo kasimama na mimi nilivo nundaz sijamuulumiaa eti akae

Ila navomchungulia naoa kwenye kwapa ana bonge na manyweleee

Sijui nimkumbushe ..ila mrembo kaumbika tatizo hilo tu
 
picha plzz
 
 
Alafu wewe najua unataka niseme simpendii ili umtongozeee

Sasa subiri mpaka jesus arud
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha...

Lee nilikwambia una wasiwasi...

Mimi nishaamua siku... Wewe ni rafiki yangu.... Shunie shemeji yangu kwako...
Usiwe na hofu na mimi kabisa...
Tabia ya ufisi kusubiri mkono uanguke sinaga.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…