Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] uongooo
Unaujua umbali kutoka Kyela mjini hadi Kyela border(Malawi)?
Kwa taarifa yako ni km kutoka Ubongo hadi Temeke tu tena hata huu umbali ni mrefu
Km kitu hujui uliza
Tena kwa basi nauli 1000/= tu
Au unadhani mpaka wa Tz na Malawi upo Moshi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
............
 
Back
Top Bottom