BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji2] [emoji2]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji2] [emoji2]
sawa mratibu nakuelewa sanacuzoo ujue mie sijui kitu ndio leo nimekutana nayo unakumbuka nyagei tulipokutana nae labda limoyo lake limekudondokea cuzoo
Akuje tu jaman si kwa lawama hizi ninazotupiwaNgoja aje Nyagei amalize kila kitu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji109]woiiiii [emoji2] flowers flowers
hahaha najua ulishatenganishwa na mwili [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Ulizia moyo sasa ??
cc: vijino pembe[emoji13]Umepatia kabisa[emoji736] [emoji736] [emoji736] [emoji109] [emoji109] [emoji123] [emoji7] [emoji7]
Ana Ila gani Shunie?Wewe si rafiki wa kudumu aiseee
Ameen mama mchuchu [emoji120] barikiwa na wwWe mwana upo?Barikiwa sana mummy[emoji7] [emoji7]
Aisee, sikuwa najua hili, asante.1819--Malkia Victoria anazaliwa
Aliongoza Uingereza kuanzia mwaka 1836 hadi alipofariki mwaka 1901![]()
![]()
Ziwa Victoria huku Bongo lilipewa jina lake na wakoloni wa Kiingereza kama heshima kwake
.........
Hawezi muache tu town born here hereShunie unatakiwa uzowee maisha ya shamba.
[emoji2] [emoji2] shemela kwa niniAisee shemela umetisha sana
Asante sana Mkuu.1966-- Eric Cantina anazaliwa
Ni nahodha Wa zamani wa Man Utd pia aliichezea timu ya Taifa ya Ufaransa![]()
![]()
Ni mwanasoka aliyekuwa na kipaji kikubwa lakini mbabe na mkorofi kama Roy Keane
Anakumbukwa kwa tukio lake la kumrukia shabiki wa timu ponzani teke la kung fu kutokana na kukerwa namna alivyokuwa akimzomea![]()
![]()
Aliiamua kuachana na soka mapema na kujikita kwenye soka la ufukweni na uchezaji filamu
.
.
.
Ahsanteni kwa kufuatilia mada
Mwisho
.............
Khaaa mratibu tenasawa mratibu nakuelewa sana
Mapembelo kakaWakuu
[emoji85] [emoji85] [emoji85][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji109]
basi ndo ivo bhana Nyagei kaelewa toto hiloaiseee hii mpya kwangu
vijino pembe sijui ndio sie tena [emoji2] [emoji2] uwiiii acha kutuharibia mama yetucc: vijino pembe[emoji13]
Nyagei kuja hapa harakacuzoo ujue mie sijui kitu ndio leo nimekutana nayo unakumbuka nyagei tulipokutana nae labda limoyo lake limekudondokea cuzoo
Ahahahahahahaaaaa ntafanyajeeee sasa ??hahaha najua ulishatenganishwa na mwili [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Baba mchuchucc: vijino pembe[emoji13]