WeweeeeeeJaman kwema humu ,uko swalama ?
mko swafii kabisaaaa
Hahaha vp kwema kiongoziii?Weweeeeee
Duu1941--Manowari ya kivita ya Uingereza inazamishwa baharini na manowari ya Wajerumani iitwayoBismarck ...watu watatu pekee ndo wananusurika![]()
![]()
![]()
Ilikuwa ni wakati wa vita kuu ya pili ya dunia
........
ShwariiiNiko poa, vip pande hizo
Haaaaahaaaa1961--Watetezi wa haki za kiraia wanakamatwa na kuswekwa ndani katika kitongoji cha Jackson huko Mississippi
Vuguvugu lilianza miaka ya 1950 kutokana na ukandamizaji mkubwa wa hali za watu weusi na hapo likaibuka kundi la Freedom Riders na kuhamasisha watu kudai hali zao makanisani,majumbani,mitaani n.k![]()
Bongo tutaanza lini juu ya hii serikali ya kidwanzi ya Sizonje na wanawe?
........
Aisee1544--William Gilbert anazaliwa
Ni mwabafizikia mahiri wa enzi hizo huko Uingereza![]()
![]()
Ndiye aliyewasaidia akina Christopher Columbus kuweza kuzurura majini na kuizungika dunia kwa kutumia Magnetic Compass
........
Wakuu habar
HBD Patti1944--Patti LaBelle anazaliwa
Ni mwimbaji mashuhuri huko nchini Marekani
Anafahamika kwa tabia yake ya kupenda kuboost matoti yake makubwa![]()
......
Asante bitoz kwa leo katika historia1966-- Eric Cantina anazaliwa
Ni nahodha Wa zamani wa Man Utd pia aliichezea timu ya Taifa ya Ufaransa![]()
![]()
Ni mwanasoka aliyekuwa na kipaji kikubwa lakini mbabe na mkorofi kama Roy Keane
Anakumbukwa kwa tukio lake la kumrukia shabiki wa timu ponzani teke la kung fu kutokana na kukerwa namna alivyokuwa akimzomea![]()
![]()
Akiamua kuachana na soka mapema na kujikuta kwenye soka la ufukweni na uchezaji filamu
.
.
.
Ahsanteni kufuatilia mada
Mwisho
.............