shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Vip tenaMrs??[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Vip tenaMrs??[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Sijamuelewa huyooo[emoji15] nimekuwa lini Mrs Nyagei[emoji15] [emoji15] [emoji15]Vip tena
Jana Nyagei alikuwa kwenye taratibu za utambulisho, ila ndio michakato anaendelea nayoSijamuelewa huyooo[emoji15] nimekuwa lini Mrs Nyagei[emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji15] [emoji15] nimepitwaeeeJana Nyagei alikuwa kwenye taratibu za utambulisho, ila ndio michakato anaendelea nayo
Ulipitwa, anasubiriwa mama mchungaji tu kubariki ombi la Nyagei[emoji15] [emoji15] nimepitwaeee
Asante sana ankali kwa magazetiView attachment 513564Mpaka hapo sina la ziada kutoka magazetini
Kwa udhamini mnono wa Ankali JJ jumatano njema
Happy birthday Patti Labelle1944--Patti LaBelle anazaliwa
Ni mwimbaji mashuhuri huko nchini Marekani
Anafahamika kwa tabia yake ya kupenda kuboost matoti yake makubwa![]()
......
Asante kwa historia Bitoz1966-- Eric Cantina anazaliwa
Ni nahodha Wa zamani wa Man Utd pia aliichezea timu ya Taifa ya Ufaransa![]()
![]()
Ni mwanasoka aliyekuwa na kipaji kikubwa lakini mbabe na mkorofi kama Roy Keane
Anakumbukwa kwa tukio lake la kumrukia shabiki wa timu ponzani teke la kung fu kutokana na kukerwa namna alivyokuwa akimzomea![]()
![]()
Akiamua kuachana na soka mapema na kujikuta kwenye soka la ufukweni na uchezaji filamu
.
.
.
Ahsanteni kufuatilia mada
Mwisho
.............
Nafatilia kwa ukaribu sana hiliSijamuelewa huyooo[emoji15] nimekuwa lini Mrs Nyagei[emoji15] [emoji15] [emoji15]
MhBado sijampata ila nina nia
[emoji134] [emoji134]Nyagei anataka kuposa kwa linamo
sijui kitu wala sihitaji kujuaShunie anaijua... Muulize tafadhali
binamu mwambie anipumzisheKwanini nimuulize yeye wakati wewe ndo umesema unipe?
Ameen baba mchuchuBwana Yesu asifiwe family
woiiiii [emoji2] flowers flowersBWANA asifiwe sana ,umeamshwaje?ubarikiwe uwe na siku njema,yenye furaha na mafanikio[emoji253] [emoji253]
jumapili mapema kwa Mzee wa kuliamsha dude
Pamoja sana ankaliAsante sana ankali kwa magazeti
Udhamini ni superb
Amina, bwana Yesu asifiweBwana Yesu asifiwe family
[emoji2] [emoji2]Nimeamshwa salama.....Amen.....same to you Madam dear[emoji519]
[emoji121] [emoji121]morning mrs Nyagei