Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,224
- 39,937
Haniambii yanayoendelea humu ndaniiAna Ila gani Shunie?
HBD Eric Cantina1966-- Eric Cantina anazaliwa
Ni nahodha Wa zamani wa Man Utd pia aliichezea timu ya Taifa ya Ufaransa![]()
![]()
Ni mwanasoka aliyekuwa na kipaji kikubwa lakini mbabe na mkorofi kama Roy Keane
Anakumbukwa kwa tukio lake la kumrukia shabiki wa timu ponzani teke la kung fu kutokana na kukerwa namna alivyokuwa akimzomea![]()
![]()
Aliiamua kuachana na soka mapema na kujikita kwenye soka la ufukweni na uchezaji filamu
.
.
.
Ahsanteni kwa kufuatilia mada
Mwisho
.............

Sijasahau cuzooo lakini hili hujaniambia kabisaaaahahhaa cuzoo acha kunichekesha ujue mm na ww urafiki kwa shida na raha au umejishaulisha
mpaka napata wasiwasiOK sawaAmeshatoa neno mda si mrefu
Sikutengi ila nitakuweka kitimotoo![]()
usiniambie na we unanitenga cuzoo

Ooooooh sikujuaaaDID YOU KNOW ?![]()
Ataweza tu....... Sasa hv amesema 'ukipenda boga penda na ua lake'Hawezi muache tu town born here here
Tumaso na shululu umehusikaKhaaa mratibu tena
mimi apa najiona ndio![]()
Amaizing
SureTake responsibility for yourself.., because no one's going to take responsibility for you.
morning KaPUku'S fOrUm..![]()
cuzoo ujue mie sijui kitu ndio leo nimekutana nayo unakumbuka nyagei tulipokutana nae labda limoyo lake limekudondokea cuzoo

Amesahau kuna maboga ya kichinaa hayana mauaAtaweza tu....... Sasa hv amesema 'ukipenda boga penda na ua lake'