BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Tununu
Tununu
Asante sana kwa mlo mtamu,nawish ningekua hapo.mlo mwema ubarikiweKaribu tule ugali na mnafu.
Ngoja aje Nyagei amalize kila kituaisee kumbe hata wewe umegundua hilo, unajua huyu shemeji yako si wa spoti
naam shemeGArchduke
hahaha mjue mm sijui kituaisee kumbe hata wewe umegundua hilo, unajua huyu shemeji yako si wa spoti
Kuku mnavu au Mnavu nyama?Mmmh hku kutamanishana jamani
asante, nawe piaMarahaba za uzima?pole na majukumu ubarikiwe
cuzoo ujue mie sijui kitu ndio leo nimekutana nayo unakumbuka nyagei tulipokutana nae labda limoyo lake limekudondokea cuzooCuzoo wewe si mtu mzuriiii
sawaShunie unatakiwa uzowee maisha ya shamba.
Ameshatoa neno mda si mrefuBlessed Hope huna neno kutoka maandiko? SAA Tisa kamili tupe neno!
cc ChaplinNgoja aje Nyagei amalize kila kitu
ahahhaa cuzoo acha kunichekesha ujue mm na ww urafiki kwa shida na raha au umejishaulishaWewe si rafiki wa kudumu aiseee
ok basi tumsubiri nyageihahaha mjue mm sijui kitu
kuna tatizo kwaniHmm.... Shunie ameokoka!
Aisee shemela umetisha sanacuzoo ujue mie sijui kitu ndio leo nimekutana nayo unakumbuka nyagei tulipokutana nae labda limoyo lake limekudondokea cuzoo
Cuzoo nimeanza kukosa imani na wewe![]()
![]()
usiniambie na we unanitenga cuzoo
loves u too mumMarahaba Dear Shunie mzima mwanangu,pole na majukumu,mum here Loves you![]()
ubarikiwe
![]()

aiseee hii mpya kwanguya nje hayakupiti imekuaje humu ndani leo??
Nyagei uje upewe mke huku