Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,224
- 39,937
TununuBaba Mchungaji heshima yko

TununuBaba Mchungaji heshima yko

Santee mke mweeCjambo,pole na majukumu
tulikumiss pia mama yetu shikamoo mama mchuchuNimewamiss sana wazima wapendwa wangu?mbarikiwe![]()
![]()
Marahaba za uzima?pole na majukumu ubarikiweshkamooo mama
Njema mkuu Shululu za uzima pole na majukumu ubarikiweMama mchungaji za kuamka

Lioneeehahhah watu wana uchungu na baby zao

Napenda sana kuendesha baiskeli,nikienda kijiji huwa lazima nikumbushie enzi,maana kule hawanishangaiLEO KATIKA HISTORIA
1878--Mashindano ya kwanza ya mbio za baiskeli yanafanyika huko Boston nchini Marekani![]()
![]()
Yaani enzi hizo mabaiskeli makubwamakubwa km walizoendesha mababu zetu ila za Wamarekani zilikuwa na unafuu
.........

Hongera sana ladyAmy Johnson,ni mrembo pia brain na sura vinaendana.1930-- Amy Johnson anakuwa mwanamke wa kwanza kurusha ndege kutoka England hadi Australia![]()
![]()
![]()
Nafikiri umbali kutoka England hadi Australia ambalo lilikuwa ni koloni la Waingereza unajulikana ulivyo mrefu
........
Pole zao,RIP wote waliopoteza maisha1941--Manowari ya kivita ya Uingereza inazamishwa baharini na manowari ya Wajerumani iitwayo Bismarck...watu watatu pekee ndo wananusurika![]()
![]()
![]()
Ilikuwa ni wakati wa vita kuu ya pili ya dunia
........
mimi apa najiona ndioLioneee![]()

Mungu atusaidie sana wa Tz,tunasafari ndefu1961--Watetezi wa haki za kiraia wanakamatwa na kuswekwa ndani katika kitongoji cha Jackson huko Mississippi
Vuguvugu lilianza miaka ya 1950 kutokana na ukandamizaji mkubwa wa hali za watu weusi na hapo likaibuka kundi la Freedom Riders na kuhamasisha watu kudai hali zao makanisani,majumbani,mitaani n.k![]()
Bongo tutaanza lini juu ya hii serikali ya kidwanzi ya Sizonje na wanawe?
........
HBD William Gilbert1544--William Gilbert anazaliwa
Ni mwabafizikia mahiri wa enzi hizo huko Uingereza![]()
![]()
Ndiye aliyewasaidia akina Christopher Columbus kuweza kuzurura majini na kuizungika dunia kwa kutumia Magnetic Compass
........
HBD Malkia Victoria1819--Malkia Victoria anazaliwa
Aliongoza Uingereza kuanzia mwaka 1836 hadi alipofariki mwaka 1901![]()
![]()
Ziwa Victoria huku Bongo lilipewa jina lake na wakoloni wa Kiingereza kama heshima kwake
.........
Asante, nawe piaNjema mkuu Shululu za uzima pole na majukumu ubarikiwe![]()
AmenYAKOBO 5
13.Mtu wa kwenu amepatikana na mabaya?Na aombe,Ana moyo wa kuchangamka?Na aimbe Zaburi.
14.Mtu kwenu amekuwa hawezi?Na awaite wazee wa kanisa ,nao wamwombee,na kumpaka mafuta kwa jina la Bwana.
15.Na kule kuomba kwa imani kutamwokoa mgonjwa yule,na Bwana atamwinua;hata ikiwa ametenda dhambi atasamehewa.
16.Ungameni dhambi zenu ninyi kwa nyinyi,na kuombeana ,mpate kuponywa.kuomba kwake mwenye haki kwa faa sana akiomba kwa bidii.
17.Eliya alikuwa mwanadamu mwenye tabia moja na sisi,akaomba kwa bidii mvua isinyeshe ,na mvua haikunyesha juu ya nchi muda wa miaka mitatu na miezi sita.
18.Akaomba tena ,mbingu zikatoa mvua ,nayo nchi ikazaa matunda yake
TUOMBE
Asante Baba kutufikisha muda huu ulituamsha salama na wenye afya tunakushukuru kwa kila jambo linaloonekana tena wewe ni mwanzo na mwisho hakuna kama wewe Baba,yote yanayotokea katika maisha yetu ni kwa utukufu wa jina lako.
Asante kwa uponyaji wa wagonjwa wote majumbani na mahospitalini,asante kwa faraja kwa wafiwa zidi kuwakumbatia mfalme wa amani,asante kuwahudumia yatima na wajane ,wewe ni baba mwema wa yatima,na mume mwema wa wajane,asante kuwatia moyo waliokata tamaa na kuvunjika moyo .
Tunajikabidhi mikononi mwako,bariki kazi zetu,familia zetu,watoto nyumbani na mashuleni,wabariki wasafiri wote wafike salama.
Tunakuomba uendelee kuwepo mahali hapa ndugu tunapokaa kwa amani,upendo,umoja,kuchukuliana kwa upendo,furaha,kutiana moyo na kuelimishana kwa furaha,mahali hapa Baba ni wewe umeweka kibali,tunaomba endelea kuwabariki waanzilishi na washiriki wa mahali hapa MAKAPUKU endelea kuwaimarisha kimwili na kiroho ili ukumbi huu ukawe mahali pa faraja kwa wengi,furaha,mshikamano,kujifunza,kuombeana,kuburudika na mwisho wa siku kufanya dunia yenye misongo na changamoto kuwa mahali pazuri pa kuishi.
Kaa nasi Baba mchana huu uwe kiongozi wetu.
Naomba na kushukuru
Amen![]()
MCHANA MWEMA![]()

Ulizia moyo sasa ??