Makapuku Forum

Makapuku Forum

YAKOBO 5

13.Mtu wa kwenu amepatikana na mabaya?Na aombe,Ana moyo wa kuchangamka?Na aimbe Zaburi.

14.Mtu kwenu amekuwa hawezi?Na awaite wazee wa kanisa ,nao wamwombee,na kumpaka mafuta kwa jina la Bwana.

15.Na kule kuomba kwa imani kutamwokoa mgonjwa yule,na Bwana atamwinua;hata ikiwa ametenda dhambi atasamehewa.

16.Ungameni dhambi zenu ninyi kwa nyinyi,na kuombeana ,mpate kuponywa.kuomba kwake mwenye haki kwa faa sana akiomba kwa bidii.

17.Eliya alikuwa mwanadamu mwenye tabia moja na sisi,akaomba kwa bidii mvua isinyeshe ,na mvua haikunyesha juu ya nchi muda wa miaka mitatu na miezi sita.

18.Akaomba tena ,mbingu zikatoa mvua ,nayo nchi ikazaa matunda yake

TUOMBE

Asante Baba kutufikisha muda huu ulituamsha salama na wenye afya tunakushukuru kwa kila jambo linaloonekana tena wewe ni mwanzo na mwisho hakuna kama wewe Baba,yote yanayotokea katika maisha yetu ni kwa utukufu wa jina lako.

Asante kwa uponyaji wa wagonjwa wote majumbani na mahospitalini,asante kwa faraja kwa wafiwa zidi kuwakumbatia mfalme wa amani,asante kuwahudumia yatima na wajane ,wewe ni baba mwema wa yatima,na mume mwema wa wajane,asante kuwatia moyo waliokata tamaa na kuvunjika moyo .
Tunajikabidhi mikononi mwako,bariki kazi zetu,familia zetu,watoto nyumbani na mashuleni,wabariki wasafiri wote wafike salama.
Tunakuomba uendelee kuwepo mahali hapa ndugu tunapokaa kwa amani,upendo,umoja,kuchukuliana kwa upendo,furaha,kutiana moyo na kuelimishana kwa furaha,mahali hapa Baba ni wewe umeweka kibali,tunaomba endelea kuwabariki waanzilishi na washiriki wa mahali hapa MAKAPUKU endelea kuwaimarisha kimwili na kiroho ili ukumbi huu ukawe mahali pa faraja kwa wengi,furaha,mshikamano,kujifunza,kuombeana,kuburudika na mwisho wa siku kufanya dunia yenye misongo na changamoto kuwa mahali pazuri pa kuishi.
Kaa nasi Baba mchana huu uwe kiongozi wetu.
Naomba na kushukuru
Amen

MCHANA MWEMA
 
Karibu tule ugali na mnafu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom