shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Atapigwa mikwala tujumapili mapema kwa Mzee wa kuliamsha dude
Atapigwa mikwala tujumapili mapema kwa Mzee wa kuliamsha dude
[emoji2] [emoji2]So happy to hear that Be Blessed. In the name of the most high,have a wonderful day[emoji253] [emoji253]
happy birthday Eric1966-- Eric Cantina anazaliwa
Ni nahodha Wa zamani wa Man Utd pia aliichezea timu ya Taifa ya Ufaransa![]()
![]()
Ni mwanasoka aliyekuwa na kipaji kikubwa lakini mbabe na mkorofi kama Roy Keane
Anakumbukwa kwa tukio lake la kumrukia shabiki wa timu ponzani teke la kung fu kutokana na kukerwa namna alivyokuwa akimzomea![]()
![]()
Akiamua kuachana na soka mapema na kujikuta kwenye soka la ufukweni na uchezaji filamu
.
.
.
Ahsanteni kufuatilia mada
Mwisho
.............
CuzooShwariii
[emoji2] [emoji2]Mrs??[emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji4]morning mrs Nyagei
[emoji3] [emoji3][emoji2] [emoji2]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Sijamuelewa huyooo[emoji15] nimekuwa lini Mrs Nyagei[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Jana Nyagei alikuwa kwenye taratibu za utambulisho, ila ndio michakato anaendelea nayo
na mm pia nimepitwa kwa hili [emoji57]Ulipitwa, anasubiriwa mama mchungaji tu kubariki ombi la Nyagei
[emoji15] [emoji15] nimepitwaeee
[emoji2] [emoji2]Nafatilia kwa ukaribu sana hili
sidhaniAtapigwa mikwala tu
Baba mchuchu[emoji3] [emoji3]
Mhhhhhhmhhhhh shemelana mm pia nimepitwa kwa hili [emoji57]
Subiri tu shemelasidhani
Af wewe!!!.....[emoji4]Baba mchuchu
Rais xuma katushauri East Africa tutafute jina lingine la kiafrica.1819--Malkia Victoria anazaliwa
Aliongoza Uingereza kuanzia mwaka 1836 hadi alipofariki mwaka 1901![]()
![]()
Ziwa Victoria huku Bongo lilipewa jina lake na wakoloni wa Kiingereza kama heshima kwake
.........
Lilikuwa linaitwa ziwa NYANZARais xuma katushauri East Africa tutafute jina lingine la kiafrica.
Ushauri kautoa akiwa Uganda ziarani.
mbona unashangaa sana???Mrs??[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Nilipenda uvaaji wake wa jezi. Akisimamisha kola juu. Japo mie mshabiki wa Liverpool (John Barnes).1966-- Eric Cantina anazaliwa