Makapuku Forum

TOP TEN
Leo tuangalie wezi/vibaka au matukio 10 ya wizi maarufu yaliyowahi kutokea tena kwa mafanikio
Najua humu kuna mashabiki wa 'bwana yule' hivyo mimi naelezea kwa ufupi tu na ilitokea kuna tukio au mwizi aliyewahi kuelezewa na 'bwana yule' muelrwe tu ni kwa bahari mbaya na msianze kuleta maneno maneno
Hii ya leo ni ngumu kidogo
Karibuni
......
 
10/French "Vacuum" Gang Kuanzia mwaka 2006 huko Ufaransa liliibuka genge la Kihalifu lisilofahamika la vibaka wajanjawajanja ambao waliimba na kusafisha kabisa Supamarket kwa kutumia kifaa maalumu walichokibuni cha fagio la vakyumu
Waligundua udhaifiu katika utunzaji fedha wa Supermarket ya Monoprix na hivyo kutumia fursa vizuri kwa kubuni fagio hilo la kuiibia kwenye vacuum tubes za itumzaji fedha
Hadi kufika 2011 walikuwa washaiba USD 800,000 kwa kutekeleza matukio 15 yenye mafanikio mkubwa
Kamera za CCTV zilibulia kuona watu waliovaa mask tu
Hawa jamaa walikuwa wakiiba usiku
........
 
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…