Makapuku Forum

Hii ni kweli
 
Asante Bitoz
 
Sasa hivi naona watu wengi wanai,ukioita mahospitalini utakutana nao.

Ubarikiwe asante sana mkuu Bitoz,uwe na wakati mwema na Mungu aendelee kukutetea
Daktari huwa hakatishi tamaa wagonjwa hivyo huwapa tu dawa za kuimarisha kinga ili usisambae sehemu zingine ila siyo kuutibu ugonjwa hata hivyo huu ugonjwa una tabia ya kutokea sehemu zaidi ya moja
Dawa pekee ni kujikubali la sivyo utapoteza pesa hadi ufilisike Huyu ni model huko USA ni mfano wa kuigwa kajikubali na kupiga pesa
.
.Wale akina MziziMbichi ni matapeli na wapigaji hapa JF
Huu ugonjwa hauuwi
Hauumi
Hauwashi
Zaidi hibadili muonekano wa ngozi tu
.........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…