Naomba nipite kimyaaa kipengele hili AGNOSTIC wa watuDhbi ni dhambi tu hata kusema uwongo
Binadamu wote ni dhaifu na hakuna mkamilifu hata awe sheikh/padre hakuna akufaye hakiwa hana dhambi labda watoto wadogo na matahira pekee
Maisha bila dhambi hayawezekani
.....
Basi tutaongeza jitihada za kucudle
Mimi nimefika darasa la 5Atakuwa bitoz huyo
Naomba nipite kimyaaa kipengele hili AGNOSTIC wa watu
HakikaBasi tutaongeza jitihada za kucudle
Hahahaaa
Michael hakujichubua Bali dawa alizokuwa anapaka ili kutibu ndio zilipelekea kumbadilisha rangi sababu zilikuwa ni kali na alitumia kwa muda mrefu
Huu ugonjwa unaitwa Vitiligp hadi sasa hauna dawa na hauambukizi
Michael Jackson aliluwaga nao akaamua kujichubua ili kusawazisha rangi pia kuvaa gloves mkono ni(Hii inaashiria pesa siyo kila kitu)
Hata Wazungu huugua ila hushambulia zaidi watu weusi tena wenye ngozi nyeusi sana
Muwe na Jioni Njema
.............
Asante bitoz

Maana hamna namna sasaHakika
Nko poa shemela,hbr ya pande hzoUko poa shem wane?
Sasa hivi naona watu wengi wanao,ukipita mahospitalini utakutana nao.
Huu ugonjwa unaitwa Vitiligp hadi sasa hauna dawa na hauambukizi
Michael Jackson aliluwaga nao akaamua kujichubua ili kusawazisha rangi pia kuvaa gloves mkono ni(Hii inaashiria pesa siyo kila kitu)
Hata Wazungu huugua ila hushambulia zaidi watu weusi tena wenye ngozi nyeusi sana
Muwe na Jioni Njema
.............
Ili watu wakeshe naona
HaaaaahaaaaMimi nimefika darasa la 5
Na nimemzidi Bashite kwa maarifa
Yy kanizidi vyeti vya wizi tu
.......
Ni kweli