Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,077 Reaction score 464,004 May 23, 2017 #195,001 shululu said: Kubet hapana kabisa, huo ni ugonjwa mbaya sana Click to expand... Mh shemela kuna siku niliona Lee anasifia kuhusu kubet
shululu said: Kubet hapana kabisa, huo ni ugonjwa mbaya sana Click to expand... Mh shemela kuna siku niliona Lee anasifia kuhusu kubet
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,077 Reaction score 464,004 May 23, 2017 #195,002 Nyagei said: Wamekuwa gharama kweli hao huku Mara sijui ninyi huko iko vipi Click to expand... Kwani shemela upo mara
Nyagei said: Wamekuwa gharama kweli hao huku Mara sijui ninyi huko iko vipi Click to expand... Kwani shemela upo mara
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 May 23, 2017 #195,003 DID YPU KMOW?
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 May 23, 2017 #195,005 Hata JF baadhi ya thread ukitoa maoni tofauti unaitwa JATER hivyo watu hujikalia kimya na kuwaacha akina "ndiyo mzee for everything" ......
Hata JF baadhi ya thread ukitoa maoni tofauti unaitwa JATER hivyo watu hujikalia kimya na kuwaacha akina "ndiyo mzee for everything" ......
Juma chief JF-Expert Member Joined Jun 6, 2016 Posts 2,764 Reaction score 2,368 May 23, 2017 #195,006 Je..wajua kwamba kama haudaiwi(deni lolote)...ni kiashiria kwamba wewe sio muaminifu..??.. yaani hukopesheki... ..!!!
Je..wajua kwamba kama haudaiwi(deni lolote)...ni kiashiria kwamba wewe sio muaminifu..??.. yaani hukopesheki... ..!!!
U Unknown2 JF-Expert Member Joined Oct 16, 2016 Posts 2,355 Reaction score 5,085 May 23, 2017 #195,009 shululu said: Kubet hapana kabisa, huo ni ugonjwa mbaya sana Click to expand... Kubet ni aina flani ya starehe ambayo kukosa ni kawaida na kupata ni bahati nasibu. Nikitaka kutoa mawazo huwa naenda kubet Keno
shululu said: Kubet hapana kabisa, huo ni ugonjwa mbaya sana Click to expand... Kubet ni aina flani ya starehe ambayo kukosa ni kawaida na kupata ni bahati nasibu. Nikitaka kutoa mawazo huwa naenda kubet Keno
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 May 23, 2017 #195,010 BlessedHope said: I see,ila ni dhambi kujiua/kuua/kutoa uhai....Mungu mwenyewe alimjua na atajua namna ya kumuhukumu Click to expand... Dhbi ni dhambi tu hata kusema uwongo Binadamu wote ni dhaifu na hakuna mkamilifu hata awe sheikh/padre hakuna akufaye hakiwa hana dhambi labda watoto wadogo na matahira pekee Maisha bila dhambi hayawezekani .....
BlessedHope said: I see,ila ni dhambi kujiua/kuua/kutoa uhai....Mungu mwenyewe alimjua na atajua namna ya kumuhukumu Click to expand... Dhbi ni dhambi tu hata kusema uwongo Binadamu wote ni dhaifu na hakuna mkamilifu hata awe sheikh/padre hakuna akufaye hakiwa hana dhambi labda watoto wadogo na matahira pekee Maisha bila dhambi hayawezekani .....
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 May 23, 2017 #195,011 Nyagei said: Hongera kwa 194k Click to expand... Asante sana Nimekuja na kismati
U Unknown2 JF-Expert Member Joined Oct 16, 2016 Posts 2,355 Reaction score 5,085 May 23, 2017 #195,013 Bitoz said: Click to expand... Hongera mkuu, kwa kasi hii nadhani umepata nafuu au kupona kabisa
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 May 23, 2017 #195,015 Mussolin5 said: - Leo ni siku yaKimataifa ya kutunza Kobe duniani. Click to expand... Dunia ina mambo
Mussolin5 said: - Leo ni siku yaKimataifa ya kutunza Kobe duniani. Click to expand... Dunia ina mambo
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 May 23, 2017 #195,016 Tmuller said: Hongera mkuu, kwa kasi hii nadhani umepata nafuu au kupona kabisa Click to expand... Mimi ni mzima Ninachoumwa hakinizuii kula,kunywa,kulala wala kuchat Hivyo nipo OK ndo sababu sikusema hadi juzi wakati ni mwezi mmoja sasa .........
Tmuller said: Hongera mkuu, kwa kasi hii nadhani umepata nafuu au kupona kabisa Click to expand... Mimi ni mzima Ninachoumwa hakinizuii kula,kunywa,kulala wala kuchat Hivyo nipo OK ndo sababu sikusema hadi juzi wakati ni mwezi mmoja sasa .........
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 May 23, 2017 #195,018 Kuna mtu humu alikuwa akipelekwa shule kwa viboko .......
U Unknown2 JF-Expert Member Joined Oct 16, 2016 Posts 2,355 Reaction score 5,085 May 23, 2017 #195,019 Bitoz said: Mimi ni mzima Ninachoumwa hakinizuii kula,kunywa,kulala wala kuchat Hivyo nipo OK ndo sababu sikusema hadi juzi wakati ni mwezi mmoja sasa ......... Click to expand... Pamoja mkuu
Bitoz said: Mimi ni mzima Ninachoumwa hakinizuii kula,kunywa,kulala wala kuchat Hivyo nipo OK ndo sababu sikusema hadi juzi wakati ni mwezi mmoja sasa ......... Click to expand... Pamoja mkuu