Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Nambie shemelaShem
Nambie shemelaShem
AAAAAAmenZABURI 126
1.Bwana alipowarejeza mateka wa Sayuni,tulikuwa kama waota ndoto.
2.Ndipo kinywa chetu kilipojaa KICHEKO,na ulimi wetu kelele za
furaha
Ndipo waliposema katika mataifa BWANA amewatendea mambo MAKUU.
3.BWANA alitutendea mambo makuu,Tulikua tukifurahi.
4.Ee BWANA ,Uwarejeze watu wetu waliofungwa,kama vijito vya kusini.
5.Wapandao kwa machozi watavuna kwa kelele za furaha.
6 .Ingawa mtu anakwenda zake akilia azichikuapo mbegu za kupanda.
7.Hakika atarudi kwa kelele za furaha aichukuapo miganda yake.
MUNGU ALIYE HAI NA AKUPE KICHEKO TENA KATIKA LOLOTE AMBALO LIMEKUWA LIKIKUTEKA KWA MUDA SASA,AKUSHANGAZE TENA KWA MATENDO YAKE MAKUU,IWE MAGONJWA,KUTOFANIKIWA KATIKA LOLOTE,MUNGU AKUTENDENDEE MAMBO MAKUU,KWA JINA LENYE NGUVU. LA YESU KTRISTO ,AMINA

Naendelea vizuri mke mweeSalama tu mamaa,waendleaje
Mungu anasaidia maisha yanaenda kakaNjema dada za kupambana na maisha
Kisamvu na niamaBila hata fish
AsanteNaendelea vizuri mke mwee
AyaTOP TEN
Leo tuone wanyama/samaki/wadudu waliowahi kuishi au wenye kiwango kikubwa cha kuishi hapa duniani
Najua wengi mmeshawahi kusikia kobe huishi miaka mongi ila wengine pia wapo
Karibuni
...........

Eagle-120!!!Kunguru miaka 400
Konokono huyuhuyu2/Ocean Quahog![]()
![]()
Hawa wanafanana na konokono
Wana uwezo wa kuishi miaka 400{msiwaonee gere)
Mzee zaidi ajulikanaye kama Ming aliishi miaka 507
..........

Kama huyu anaishi 200yrs. Hao wengine.....10/Red Sea Urchin
Hawa wanasadikiwa kuwa huishi milele maana wanaowarekodi/watunza hufa huku wao wakiendelea kuishi hata baada ya vifo vya watoto wa hao watunza wanyama!!!!!![]()
Wanaishi baharini kwenye n ina cha juujuu kwenye pwani ya bahari ya Pasifiki huko Amerika Kaskazini Wanasadikiwa kuwa na uwezo wa kuishi miaka zaidi ya 200
........

Usikiri hili jambo kaka ,Mungu akubariki udai haki yakoHata mi sijui maana mi siruhusiwi kumiliki jiko

I see5/Galapagos Giant Tortoise![]()
![]()
Hii ni jamii ya Kobe ambayo ina jeuri ta juishi takribani miaka 100
Kobe maarufu zaidi wa aina hii aliitwa Lonesome George aliyeishi kisiwani kwa miaka 100
Kobe aliyerekodiwa kuishi miaka mongi zaidi aliishi miaka 152
........
Nakubali6/Tembo wa Afrika
Hawa ni wale wanaopatikana barani Afrika pekee ambao kwa hapa Bongo huwindwa na majangili pamoja na wapiga dili ili wapate pembe zao(pembeni za ndovu)![]()
Wanakadiriwa kuwa na uwezo qa kuishi miaka 70
Ila kwavile Waafrika hatujali kutunza kbukumbu pengine wapo tembo wenye miaka 100
.......
Wambea sana hawa7/Macaw![]()
![]()
Hawa ni jamii ya wale ndege wenye kidomodomo(kasuku)
Huishi kati ya miaka 60 hadi 80
Ila wapo waliofikiaha hadi miaka 100
......
Ubarikiwe mkuu Bitoz kazi yako ni njema ,nimejifunza mengi asante sana1/Immortal Jellyfish
Tafsiri isiyo easmi ya immortal ni milele![]()
Yaani Hawa samaki ni km vile huishi milele
Pindi wakijeruhiwa hujibadili na kurudi vilevile!!!
Kiufupi hawajui kufa kwa ugonjwa wala ajali labda wamezwe watafunwe
Hivyo ndo vinara wa kuishi miaka mwingi
..
.
.
.viumbe vya bahari ni ndo vinaongozi kwa kuishi miaka mwingi
Hii inadhihirisha Maji ni Uhai
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
..........
uwe na wakati mwema ,Mkono wa Mungu usikupungukie
Hahahahah. Kwanini?? SasaHata mi sijui maana mi siruhusiwi kumiliki jiko