Makapuku Forum

8/Long Finned Eel Hawa ni samaki warefu hivyo kufanana na nyoka wanapatikana zaidi huko Australia na New Zealand
Wanasadikiwa kuwa na uqezo Wa kuishi miaka 60 ila aliyerekodiwa aliishi miaka 106
.......
Nimewahi kumuona kwenye aquarium moja huyu mdudu. Ni jamii ya wale samaki wenye umeme mwilini mwao kama kumbukumbu zangu zinanitendea wema
 
Coco Beach wapo hao ila ni wadogo size ya kiganja pia ni weusi
 
6/Tembo wa Afrika Hawa ni wale wanaopatikana barani Afrika pekee ambao kwa hapa Bongo huwindwa na majangili pamoja na wapiga dili ili wapate pembe zao(pembeni za ndovu)
Wanakadiriwa kuwa na uwezo qa kuishi miaka 70
Ila kwavile Waafrika hatujali kutunza kbukumbu pengine wapo tembo wenye miaka 100
.......
 
5/Galapagos Giant Tortoise
Hii ni jamii ya Kobe ambayo ina jeuri ta juishi takribani miaka 100
Kobe maarufu zaidi wa aina hii aliitwa Lonesome George aliyeishi kisiwani kwa miaka 100
Kobe aliyerekodiwa kuishi miaka mongi zaidi aliishi miaka 152
........
 
Ameni mama mchungaji ubarikiwe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…