Ongezeni spidiWiki hii tunatarajia kufikia 200k
Mwaghona Mwaghona kaka tununu kaka,utwa ukoMwagona dada utwa mashiku
Niambie shemeji, za kupoteaShemejiiii!!!!
NimemuonaAtakuja
Nzuri, mvua tu aisee, vip Sugu cityNipo mkuu habari za huko kwenu
Kuno tununu kabisa utwa ukwo uliMwaghona Mwaghona kaka tununu kaka,utwa uko
Mola yuko upande wako mkuu
Aisee pole sana
Pole sana bitoz
Mungu akujalie upone haraka
Pole sana Mkuu Bitoz,Mungu akupe uponyaji haraka,Mungu akutie nguvu upo hospitali au nyumbani?polee
Pole sana Bitoz
Pamoja sana wadauPole sana
Upone haraka ili uendelee na shughuli zako kama kawaida
Njema Shem habari za ujenzi wa taifaNiambie shemeji, za kupotea
Hivi alikuwa na scandal na rais Charles Taylor wa liberia eeh?
Huku Leo mawingu tu ndo yanaonekanaNzuri, mvua tu aisee, vip Sugu city
Mungu anyoshe mkono wake wa uponyajiPamoja sana wadau
Ni kipindi kigumu ila nitavuka tu
Shukrani kwa kunifariji
.........
salama kaka za kwakoDada habari yako
Njema Dada za hapo kwa makondasalama kaka za kwako
HahahhahOngezeni spidi
Naona kuna makapuku uchwara daily wanaingia humu kuiga na kuanzisha thread hapahapa Chitchat wakitegemea tutawafuata huko
Ila tunapotezea tu
Kwani hapahapa hapatutoshi?
......
Huku safi mvua tu imeanza tenaNjema Dada za hapo kwa makonda
Polen kwa Hiyo Leo mtu hatoki njeHuku safi mvua tu imeanza tena