Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
asante shemela wangu mie kwa magazeti uwe na siku njemaSina la ziada kutoka magazetini
Kwa udhamini mnono wa CR7
Tukutane tena kesho
Jumatatu njema
asante shemela wangu mie kwa magazeti uwe na siku njemaSina la ziada kutoka magazetini
Kwa udhamini mnono wa CR7
Tukutane tena kesho
Jumatatu njema
Mama mchuchu shikamoo mama yanguAmen mkuu asante![]()
AmeenZABURI 33
1.Mpigieni BWANA vigelegele,enyi wenye haki,kusifu kunawapasa wanyofu wa moyo.
2.Mshukuruni BWANA kwa kinubi kwa kinanda cha nyuzi kumi mwimbieni sifa.
3.Mwimbieni BWANA wimbo mpya ,pigeni kwa ustadi kwa sauti ya shangwe.
TUOMBE
Tuna kila sababu ya kukushukuru Mungu kwa kutuamsha salama tukiwa na nguvu na kauli,tunapaswa kupiga vigelegele tukishangilia wema wa BWANA Mungu wetu ambaye umetupa siku ya leo.
Tunaomba toba kwa kwa lolote tulilokukosea.Tunaenda kinyume na roho zote zilizo kinyume nawe MUNGU wetu mwema.
Tunajikabidhi kwako Baba Tembea nasi kuanzia Jumatatu ya leo hadi wiki hii iishe,tunaomba bariki familia,kazi,watoto,wake,waume na ndugu wote.
Tunawaombea wagonjwa ,wafiwa,wenye changamoto zozote tupe amani BABA tunaomba Roho Mtakatifu atufundishe kuishi maisha ya kukupendendeza na kuwa msaada kwa wenzetu,tujazwe upendo,kujali,kuombeana,kusaidiana,kutiana moyo na pia kuwapenda wenzetu ,tukifanya hivyo tunajua Mungu utakua nasi popote tulipo.
Bariki wasafiri nchi kavu,majini,angani wafike salama.
Asante Baba maana utatupa kushinda .
Tuomba yote katika jina la Yesu Amen
SIKU NA WIKI NJEMA MBARIKIWE![]()
![]()

MorningMornie shemela
Hivi binamu umemuona mama mchuchu tu ndio wa kumsalimia sisi wengine hatuna umuhimu kwakoBlessedHope na shululu asanteni kwa sala ya kupendana na kutiana moyo asubuhi, asante kwa magazeti.
Makapuku wenzangu tuwe na wiki njema, tuwe na afya njema wiki yote na furaha huku kile tunachofanya kifanikiwe na tukumbuke kusema asante kwa kila anayeiwezesha siku iwe njema. ima ni shoeshiner, ama housegirl/boy, kondakta au mpigadebe au chizi anayekufahamu, daktari au mwalimu, polisi au hakimu, muuza maziwa au mchoma mahindi. Ilmradi tu tuseme asante na kutabasamu.
BH hujambo
Asante shemela kwa kuperuzasante shemela wangu mie kwa magazeti uwe na siku njema
Morning to u baba mchuchuGoodmorning guys
happy birthday George best1946 - George Best anazaliwa.
Mchezaji mashuhuri wa zamani wa Man Utd.
hbd naomi1970 - Naomi Campbell anazaliwa.
Mwanamitindo wa kiingereza.
Aliwahi kuingia katika skendo ya kuhongwa Almasi za Damu za Sierra Leone na Rais wa wakati huo Charles Taylor.
Asante Mussolin kwa historiaLeo katika Historia:
Sina la ziada niwatakie siku njema.
Morning ShunieMorning to u baba mchuchu
Asante kwa nukuu T wa dadaSina la ziada katika Nukuu ya leo..
Tukutane panapo majaliwa katika sehemu ya 3...
Don't miss it..
Aisee mukongo ana age hiyoKama wewe![]()
![]()
![]()
na we shemela una age ngapiPamoja shemAsante kwa nukuu T wa dada
Asante shemela kwa kuperuz
Nawe pia siku njema
