Makapuku Forum

1946 - George Best anazaliwa.

Mchezaji mashuhuri wa zamani wa Man Utd.

Ni raia wa Ireland au Wales
Mungu alimjalia kipaji kikubwa cha kusakata soka lakini nje ya uwanja hakuwa na nidhamu

Alikuwa ni mpenda wanawake kiasi cha kutembea badi na Miss World yaani Dwight Yorke hamfiki hata nusu(watoto walimfuata wenyewe)
Pia alikuwa chapombe aliyetukuka matokeo yake akaishi kwenye umaskini uliotopea(huko Ulaya kila mtu kubeba msalaba wake hakuna mbeleko km za kina Chid Benz km hutaki kusaidiwa wana kuacha ufe na ujinga wako)

Pombe ndiyo iliyomuua
R.I.P George Dickie Best
.............
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…