Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ni kweli mkuu,na bado naendelea kuwaombea wotee muwe na amani na upendo kwa wote..MUNGU ANATOA AMANI KULIKO AWAYE YOTE

[emoji524] YOHANA MTAKATIFU 14
27.Amani nawaachieni ;amani yangu nawapa,niwapavyo mimi sivyo kama ulimwengu utoavyo .msifadhaike mioyoni mwenu wala msiwe na woga

ASEMA BWANA WA MAJESHI[emoji120]
amen
shkamooo!
 
Back
Top Bottom