shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Nani huyo
Nani huyo
Vip kiongoziMkuu...
Mh shemela hayo kweli maombi hayoAnasali sana, hata hivi sasa niko naye hapa anasisitiza tukuombee
Jorowe
Uko vizuri segment hii nakupa mia mia
Haaaaahaaaasina ninayemchukia shemeji yangu ukizingatia watu humu hatujuani zaidi ya kujuana kwa I'd fake na avatar ndio kabisa
Asante shemela, nimezipata mapema sanamsalimie sana mke mwee
Nimekula shemela wanguUmekula lakini
Mshenga upoHujambo Shunie?
hapana aisee siweziNi zaidi ya Heineken![]()
![]()
Tukimpuuza wote hutaona akipost huo ujinga
Watu wa Kanda ya ziwa hiyo kitu wanapenda sanaHata la mapanki haliingii ndani![]()
![]()
Nilikumiss shemela wanguNipo shemela
Mama mchungaji za usiku, sijakusoma kabisa leo hiiMarahaba dear mimi mzima namshukuru Mungu Za huko? Ubarikiwe my dear
Ni kweli shemelaHaaaaahaaaa
Kwema shem hbr ya kaziMke wa Engineer kwema?
Nafurahi kuskia hivyo shemelaAsante shemela, nimezipata mapema sana
Yeye ni Heineken tuKili na kande shem karibu
evart...hebu nikumbushe ni nani?