Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,224
- 39,937
Hahaha watakuja wanaume wa Dar hapa

Hahaha watakuja wanaume wa Dar hapa

Hakika mkuuMajiniazi wa Afrika hawa. Hakuna anayewajali!
Njema son, natumai uko fit kama chuma cha pua!Habari ya kushinda baba mchungaji
Habari yako shemUcjal zmefka
Do you really need to hear?its so simple,open your ears,off your radio,remove your earphone. Read your bible

Asante sanahongereni sana
Shemela wangu mzima?Nzuriiii mkuu
Afande shededeWakuu habar
Muziki ni Kujitafakari
Habari za kutwa nzima na sasa uziku umeingia Makapuku wenzangu. Ni imani yangu kuwa umekuwa na wikend zuri na sasa ni mwisho wa wikend. Binafsi nimekuwa na weekend nzuri, nashukuru sana.
Nimekaa namsubiri Sweetiepie alete ngoma maana alisema Jumamosi na Jumapili atazimilik yeye (au ni mimi ni sikujihoji alikuwa anaongelea jmosi na jpili zipi? Maana hakuweka tarehe yaani ni kama SHIMBA YA BUYENZE na ahadi yake ya 'stupid criminals).
Wakati tunaendelea kuwasubiri hawa wadau basi nikaona si vibaya tukapata nyuzi kidogo za gitaa kutoka kwa wadonoaji mahiri. Na leo tunaenda USA na tunamkuta Gillian Welch.
Nilipomsikia mara ya kwanza nikadhani ninamsikiza Alison Krauss lakini mara nilipoona video clip yake nikajua niliongeza sukari kwenye asali.
Gillian anajua kulipiga gitaa na anavyolipakata huwezi amini kama gitaa lake lina nyuzi sita tu na shanga zake shingoni. Nyimbo zake kama alivyo Alison Krauss ambaye huimba na Robert Plant, yeye huimba na mpiga gitaa mwingine anayejua kwa jina la David Rawlings.
Na namna anavyolipiga gitaa lake hakyanani masikio yako yasipotabasamu basi inabidi umuone dakitari wa meno.
Keshashinda tuzo kadhaa ikiwemo ya Grammy.
Hebu tumwangalie hapa akicharaza gitaa katika Elvis Presley Blues. bhbb
Shunie , sijui kwanini silipendi jina mkuu, ukipona kikamilifu nitakujuza kwanini silipendi.
mzee wa saa mpya
HakikaTukimpuuza wote hutaona akipost huo ujinga
Ukizingatia ilikuwa ndio weekend inaanzaNilichoka tu shem wane, sijatekwa labda cuzoo wako....
All the time God is good
Hujakosea babaNjema son, natumai uko fit kama chuma cha pua!
Anasali sana, hata hivi sasa niko naye hapa anasisitiza tukuombeesante mke mwee usiache kuniombea
Shikamoo mama mchungajiDo you really need to hear?its so simple,open your ears,off your radio,remove your earphone. Read your bible![]()
Muziki ni Kujitafakari
Habari za kutwa nzima na sasa uziku umeingia Makapuku wenzangu. Ni imani yangu kuwa umekuwa na wikend zuri na sasa ni mwisho wa wikend. Binafsi nimekuwa na weekend nzuri, nashukuru sana.
Nimekaa namsubiri Sweetiepie alete ngoma maana alisema Jumamosi na Jumapili atazimilik yeye (au ni mimi ni sikujihoji alikuwa anaongelea jmosi na jpili zipi? Maana hakuweka tarehe yaani ni kama SHIMBA YA BUYENZE na ahadi yake ya 'stupid criminals).
Wakati tunaendelea kuwasubiri hawa wadau basi nikaona si vibaya tukapata nyuzi kidogo za gitaa kutoka kwa wadonoaji mahiri. Na leo tunaenda USA na tunamkuta Gillian Welch.
Nilipomsikia mara ya kwanza nikadhani ninamsikiza Alison Krauss lakini mara nilipoona video clip yake nikajua niliongeza sukari kwenye asali.
Gillian anajua kulipiga gitaa na anavyolipakata huwezi amini kama gitaa lake lina nyuzi sita tu na shanga zake shingoni. Nyimbo zake kama alivyo Alison Krauss ambaye huimba na Robert Plant, yeye huimba na mpiga gitaa mwingine anayejua kwa jina la David Rawlings.
Na namna anavyolipiga gitaa lake hakyanani masikio yako yasipotabasamu basi inabidi umuone dakitari wa meno.
Keshashinda tuzo kadhaa ikiwemo ya Grammy.
Hebu tumwangalie hapa akicharaza gitaa katika Elvis Presley Blues. bhbb
Shunie , sijui kwanini silipendi jina mkuu, ukipona kikamilifu nitakujuza kwanini silipendi.
mzee wa saa mpya
Mpira ndivyo ulivyoHata mimi mkuu
HR........
namuona chizi tu nimeshampuuza