Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Binamu kila kitu we ni kukumbushwa jaman...hebu nikumbushe ni nani?
Binamu kila kitu we ni kukumbushwa jaman...hebu nikumbushe ni nani?
Muziki ni Kujitafakari
Habari za kutwa nzima na sasa uziku umeingia Makapuku wenzangu. Ni imani yangu kuwa umekuwa na wikend zuri na sasa ni mwisho wa wikend. Binafsi nimekuwa na weekend nzuri, nashukuru sana.
Nimekaa namsubiri Sweetiepie alete ngoma maana alisema Jumamosi na Jumapili atazimilik yeye (au ni mimi ni sikujihoji alikuwa anaongelea jmosi na jpili zipi? Maana hakuweka tarehe yaani ni kama SHIMBA YA BUYENZE na ahadi yake ya 'stupid criminals).
Wakati tunaendelea kuwasubiri hawa wadau basi nikaona si vibaya tukapata nyuzi kidogo za gitaa kutoka kwa wadonoaji mahiri. Na leo tunaenda USA na tunamkuta Gillian Welch.
Nilipomsikia mara ya kwanza nikadhani ninamsikiza Alison Krauss lakini mara nilipoona video clip yake nikajua niliongeza sukari kwenye asali.
Gillian anajua kulipiga gitaa na anavyolipakata huwezi amini kama gitaa lake lina nyuzi sita tu na shanga zake shingoni. Nyimbo zake kama alivyo Alison Krauss ambaye huimba na Robert Plant, yeye huimba na mpiga gitaa mwingine anayejua kwa jina la David Rawlings.
Na namna anavyolipiga gitaa lake hakyanani masikio yako yasipotabasamu basi inabidi umuone dakitari wa meno.
Keshashinda tuzo kadhaa ikiwemo ya Grammy.
Hebu tumwangalie hapa akicharaza gitaa katika Elvis Presley Blues. bhbb
Shunie , sijui kwanini silipendi jina mkuu, ukipona kikamilifu nitakujuza kwanini silipendi.
mzee wa saa mpya
Salama pole na majukumuHabari yako shem
Ni kweliTukimpuuza wote hutaona akipost huo ujinga
Mzee wa saa mpya, na sio jorowe tenaJorowe
Uko vizuri segment hii nakupa mia mia
shemela nikiwa na stress zangu inanifariji sana idumu heinkenYeye ni Heineken tu
Akili inataka, mwili hautakiNi kweli ila siwezi force mwili
Hakika,nko poa hny hbr ya matembeziTumwombee apone haraka,
Vip lakini my swi
Wewe ndio ulikuwa unatumia kipindi kile Ya Man 6[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hebu tupia tuione
MhhhhhhmhhhhhHivi mlikua pamoja mbona mmekuja pamoja jaman binamu obe atakufwaaa
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] binamu mm nitaanza kukuita mkuu
Mimi ni arsenal shemelaShemela kwa nini ushindi wa leo hamjashangilia ile wenyewe
Aisee, shemela unamuongezea machungu mzee wa saa mpyaWoiiiiii [emoji2] [emoji2] binamu obe hata siku moja flowers haujapewa
Muulize atakuambiaMh shemela hayo kweli maombi hayo
🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁[emoji307] [emoji307] [emoji307] [emoji7] [emoji7] [emoji7]
Vizuri sana shemela, muhimu kula na kunywa maji kwa wingi sanaNimekula shemela wangu
Lee umemuona lakiniNilikumiss shemela wangu
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Nafurahi kuskia hivyo shemela
shemela we unaonaje ujue nimewaza tuMhhhhhhmhhhhh