Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Una hamu ya kuvimbiwa shemKaribuni![]()
Una hamu ya kuvimbiwa shemKaribuni![]()
Afandee msitafuuWakuu habar
Salama,kwemahabari za wikiend wadau
ebu subiri nikaucheki huo uzi wa kuchukiana nione watu wanvyofanyiana roho mbaya
Alikuwepo hapahapa naona ameenda kupunga upepoAmeen mke mweehshemela wangu yuko api
sina ninayemchukia shemeji yangu ukizingatia watu humu hatujuani zaidi ya kujuana kwa I'd fake na avatar ndio kabisaHahahaaa..
Hivi shem umemtaja nani kule
AiseeeKaribuni![]()
msalimie sana mke mweeAlikuwepo hapahapa naona ameenda kupunga upepo
Hujambo Shunie?sina ninayemchukia shemeji yangu ukizingatia watu humu hatujuani zaidi ya kujuana kwa I'd fake na avatar ndio kabisa
HR........sina ninayemchukia shemeji yangu ukizingatia watu humu hatujuani zaidi ya kujuana kwa I'd fake na avatar ndio kabisa
Yaani kama Kolomije kabisa laivu. Uzuri wa hii (minus Balimi) unakula mchana halafu unakwenda kumalizia kazi zako shambani. Ukila usiku aisee waweza kusumbuka. Weka mbali na wanaume wa Dar please!Karibuni![]()
nilikuwa nausaka uko chit chat lakin naona bila bilaHuo uzi uko humu humu?
Salama mkuuhabari za wikiend wadau
Hahaha nitakuwa ni chiziunamchukiaje mtu usiyemjua jf
Marahaba dear mimi mzima namshukuru Mungu Za huko? Ubarikiwe my dearmama mchuchu shikamoo umeamkaje mama
Majiniazi wa Afrika hawa. Hakuna anayewajali!
Nakuona nakuonaKwema mkuu