Makapuku Forum

Makapuku Forum

Rekodi bado ipo imesimama haijavunjwa.

Kikosi kile cha Cameroon mwaka 1990 kilimfanya marehemu Pepe Kalle kutunga nyimbo mahsusi kwa Roger Milla na kikosi kizima cha Simba Wasiofugika ( Indomitable Lions ).

Ikumbukwe mechi ya ufunguzi wa Kombe la Dunia mwaka 1990 pale Italy, ilkuwa ni Argentina ( Mabingwa watetezi ) dhidi ya Cameroon.

Mechi iliisha kwa Cameroon kuifunga Argentina 1-0 , huku Diego Armando Maradona akibanwa vilivyo kabisa ( Man marking ) na Emanuel Kunde na matokeo hayo kuishangaza Dunia.

Cameroon ikaenda hadi robo fainali alitolewa na England. Hivyo kuwa timu ya kwanza ya Afrija kufika robo fainali ya WC.
Cameroon walitolewa na Uingereza kwa figusu figisu figisu
 
8. Fainali ya kombe la Dunia ilikiwa ni Argentina Vs Ujerumani.

Ambapo ilikuwa ni marudio ya fainali ya mwaka 1986 iliyofanyika Mexico.

Safari hii Ujerumani alilipa kisasi kwa kuifunga Argentina bao 1-0 na kutwaa ubingwa huo.

Hayi ni mambo kadhaa ya kukumbukwa ambayo niliona nishee nanyi.
Shukrani le dictator Mussolin5 kwa mara nyingine tena
 
3e6906f53289fb784582a4b283b5ef3c.jpg
e4776354c6b67b42caa88c08ea0f5228.jpg
9b5dc6e1c88aac98aac3cc8c5140b675.jpg
Ufaransa aliondolewa kwa aibu kwenye hatua ya makundi bila kuambulia hata kagoli kamoja nafikiri
.
.
.
Tukutane baadaye mdau
Nikutakie siku njema
.......
Pamoja sana mkuu
 
8. Fainali ya kombe la Dunia ilikiwa ni Argentina Vs Ujerumani.

Ambapo ilikuwa ni marudio ya fainali ya mwaka 1986 iliyofanyika Mexico.

Safari hii Ujerumani alilipa kisasi kwa kuifunga Argentina bao 1-0 na kutwaa ubingwa huo.

Hayi ni mambo kadhaa ya kukumbukwa ambayo niliona nishee nanyi.
Asante musolini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom