EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Aweke ikoje?Toa hii avatar basi
Aweke ikoje?Toa hii avatar basi
Hapana, mimi aliniuliza zaidi ya mara sita kama najua uliko, nikamwambia sifahamu, ila mara ya mwisho alisema hajisikii vizurishemela jana ulikua haupo malaika wako alikuepo nimeingia tu niliyokutana nayo Mungu anajua muulize T na emmyguy na shedede
alivyokua ananitetea anaulizwa we kama nani we si uliacha kazi mwenyewe akasema kweli hapo sina sauti masikini
you are not serious Shunieambacho haujaelewa nilivyosema baby au ndio baby wangu sasa nitafanyaje hata kama nimekanwa mengine mapito tu
Msamehe tu, alichanganyikiwa baada ya kukukosashemela jana ulikua haupo malaika wako alikuepo nimeingia tu niliyokutana nayo Mungu anajua muulize T na emmyguy na shedede
Heee, jamani! Saa ngapi nimesema mimi haya maneno jamani?
Sio mimi niliyesema, lazima atakuwa ni pepo tu

ndio hivyo nilikanwa jana alikua anaimbisha sijui kwa new comerHapana, mimi aliniuliza zaidi ya mara sita kama najua uliko, nikamwambia sifahamu, ila mara ya mwisho alisema hajisikii vizuri
Huyo ndio ObeBinamu![]()
ila sishangai hata Yesu alikanwa
Khaaaa userious gani tena unautaka jaman kwahiyo unataka niachike mzee wa kungoayou are not serious Shunie
Ngoja nimuache alale tuu...labda atakua amelala halaf mbona hana tabia ya kuzima simu
mimi nilishamsamehe mda tu mana nilikuta anasema mm nimemwacha sijui na yeye ni mwanaume yaan hata sielewi sijui lini nimemuacha mara sijui nimetekwa na aliyenianzishia uziMsamehe tu, alichanganyikiwa baada ya kukukosa
Aweke avatar yake ya zaman..Aweke ikoje?
Aisee dah, ngoja arudi nimkalishe kwenye kigodandio hivyo nilikanwa jana alikua anaimbisha sijui kwa new comer
Hapana Shunie.... You will be fineKhaaaa userious gani tena unautaka jaman kwahiyo unataka niachike mzee wa kungoa
Amina. Asante mama mtumishi.ZABURI 63
6.Ninapokukumbuka kitandani mwangu,Nakutafakari wewe makesha yote ya usiku.
Unapolala unatafakari nini?
Je unatafakari shida?dhiki tabu,magonjwa,misiba,kukosa,kufukuzwa kazi,kukataliwa
Usiku wa leo mwambie Mungu ASANTE pamoja na mapito yote na misukosuko ya maisha ,kuuguliwa,tabu kukosa chakula lipo jambo kubwa ambalo Mungu anaendelea kufanya katika maisha yako ambalo utaliona pale utakapomtafakari yeye tu na kumshukuru...Mshukuru Mungu kwa kila jambo naendelea kumtafakari usiku wa leo kwa matendo yake makuu ya upendo na wema.
TUOMBE
Asante Baba kwa wema wako,tunajikabidhi mikononi mwako huku tukiutafakari wema na fadhili zako.
Tunaomba ulinzi wako na uwe nasi malaika walinzi watuzunguke katika vitanda vyetu akitusaidia kukutafakri na kutupa ulinzi wa mwili na roho.
Tunaomba utuamshe salama na utupe amani ya mwili na roho..utupe matumaini.
Tunawakabidhi kwako wagonjwa,yatima,wafiwa naomba faraja itawale.
Naomba katika jina la Yesu mpatanishi na mwokozi wetu
AMEN
.
MBARIKIWE USIKU MWEMA![]()
![]()
Kumbe tatizo ni hilo!!??Inatuchanganya bhanaa
acha tu shemela nilijuta kwa nini niliingia yaan nilihisi malaria inarudi tenaAisee dah, ngoja arudi nimkalishe kwenye kigoda
ropoka tu hamna shidaAweke avatar yake ya zaman..
Kila mara kuna vitu nataka kuropoka nikifikiri ni lee kumbe ni shunie..
Ulipaswa umwambie kuwa unaumwa umeenda kwa mama mdogo, maana hukumwambia chochotemimi nilishamsamehe mda tu mana nilikuta anasema mm nimemwacha sijui na yeye ni mwanaume yaan hata sielewi sijui lini nimemuacha mara sijui nimetekwa na aliyenianzishia uzi
Mh mziki gani halaf mm avatar sibadilishi labda aongee mwenye avatar yake akisema hataki nitatoaNgoja nimuache alale tuu...
Huo mziki wa leo mchana ulikuwa hatareee