shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Pole jamani shemela wa mimiacha tu shemela nilijuta kwa nini niliingia yaan nilihisi malaria inarudi tena
Pole jamani shemela wa mimiacha tu shemela nilijuta kwa nini niliingia yaan nilihisi malaria inarudi tena
Ha ha ha ha ha..... Anafanya tu counterchecking... You will be fine Shuniemimi nilishamsamehe mda tu mana nilikuta anasema mm nimemwacha sijui na yeye ni mwanaume yaan hata sielewi sijui lini nimemuacha mara sijui nimetekwa na aliyenianzishia uzi
Sasa unataka kujua dada yako kacheza mziki gani na shemeji..Mh mziki gani halaf mm avatar sibadilishi labda aongee mwenye avatar yake akisema hataki nitatoa
shemela kweli hapo naweza nikasema nilikosea lkn nimeanza kuumwa j3 mm sijaingia jf kabisaUlipaswa umwambie kuwa unaumwa umeenda kwa mama mdogo, maana hukumwambia chochote
Yeah.... I think it is better that wayAweke avatar yake ya zaman..
Kila mara kuna vitu nataka kuropoka nikifikiri ni lee kumbe ni shunie..
nimeshapoa ndio ukubwa labda nimeachika sijijuiPole jamani shemela wa mimi
Karibu pia Mwanza MkuuMbeya mkuu
I am not confortable with this Avatar..Mh mziki gani halaf mm avatar sibadilishi labda aongee mwenye avatar yake akisema hataki nitatoa
Sasa unataka kujua dada yako kacheza mziki gani na shemeji..
Kuna na breal basi kidogo hapo





na kwako pia shemelaUsiku mwema makapuku wote
Wacha wivu Shunie.... Just be more responsible.ndio hivyo nilikanwa jana alikua anaimbisha sijui kwa new comer
Nawe pia mkuu Mungu akupe kibali cha kuiona keshoUsiku mwema makapuku wote
nitajitahidi kama nitaweza kutokua na wivuWacha wivu Shunie.... Just be more responsible.
Na kwako pia braza.Usiku mwema makapuku wote
Just be patient... And make as if nothing has happened.acha tu shemela nilijuta kwa nini niliingia yaan nilihisi malaria inarudi tena
Asante mkuu huko nitakaribia mwishoni mwa mwaka huuKaribu pia Mwanza Mkuu
.
nimekuelewaJust be patient... And make as if nothing has happened.
Usiku mwema makapuku wote