Makapuku Forum

Ubarikiwe
 
duuh! hili lijamaa lipo kwenye kumi bora
salute kwa wayne
 
 
Asante Obe
 
Namkubali sana huyu Mzee japo sijafanikiwa kuishi zama zake. Kuna kibao chake aliimba kwa Kiswahili na Sam Mangwana pia nakikubali mno.


Mdau, wimbo huo ulikuwa na utabaki kuwa mzuri wakati wote. Sauti ya Mangwana na gitaa la Franco yalilandana sana....
"'muongo na mlozi ni watu wa kuchomwa.....Franco.....ukipata taabu omba kwa Mungu..."

Hii hapa clip ya YouTube wimbo huo unaitwa Toujours OK (For Ever)

 
zipo hapo kwa udhamini wako

kuhusu isha naona kashapata yule aliyekuwa akimtafuta kule tulipomkuta

tangu anipe cha mbavu sijamuona mpk leo na sio kawaida yake ilikuwa haipiti wiki lazima aje kusalimia, labda yupo kwenye fungate
hahahhh atakua amempata aliyekua anamtafuta
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…