Makapuku Forum

2/Sean John Combs
Ana umri wa miaka 44 anajulikana zaidi kama P Diddy
Enzi hizo wakati damu ikimchemka alikuwa akitoka kimapenzi na Jennifer Lopez
Anamiliki kampuni kibao ikiwemo ya mavazi iitwayo Sean John
Anamiliki pia studio
Ana utajiriunaofikia USD 630 Milioni
......
 
1/Andre Romelle Young Huyu jamaa huko kwa Trump nu kama Mkubwa Fella wasanii kibao wamepitia kwake
Ni prodyuza abayefahamika kwa jina la Dr Dre jamaa kweli ni daktari wa muziki
Ana umri wa miaka 49
Anamiliki studio na vitega uchumi kibao
Ana utajiri wa USD 790 Milioni
.
.
.
.
.
.
.Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane Jumatatu
Mwisho
..............
 
Aisee
 
Shukrani mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…