Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,061
Relax shunie...usiku mwema kwa mara ingine tutaonana nikipona nitarudi rasmi
lee naomba tu uwe makini sipati picha ungerudi wewe unikute nataniwa hivyo nilivyokuta navuta picha tu ambacho kingetokea
mm huwa sipendi sana mautani ya hivyo
uwe na usiku mwema nakupendaa [emoji8] na nimekumiss sana hunnie
Lee ni wako tuu...