Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
hapana mautani yaliyovuka mpaka sio mazuriPole mamy wangu
Kanatania tu kajamaa
Ila punguza pressure dada usizidiwe..
Tumia dawa vzr
Kula vzr
Usimuwaze lee
hapana mautani yaliyovuka mpaka sio mazuriPole mamy wangu
Kanatania tu kajamaa
Ila punguza pressure dada usizidiwe..
Tumia dawa vzr
Kula vzr
Usimuwaze lee
Cheka shedede
hahahaha ila nimekuogopa kumbe kazi unaifanya kisiriHahaha nayeye ana moyo
Let me wait
Time will tell
KaribHodiiii jamani shunie pole mdogo wangu kwa ugonjwa..
poa tuVipi shoga?
kwahiyo nimekuharibianamuooona umemuitaaaaa ?
mmmmh mawazo yako tuuuNilimkimbia lini mimi naona natafutiwa sababu najuta kulog in kuja kuwasalimia
sidhani mpaka sasa kama bado hujapata matokeoMrejesho tafadhali
Jichekee tu hata kutype natetemeka au nimeachika huku sijijui
nini tenakwahiyo nimekuharibia
Aiseemmmmh mawazo yako tuuu
Ata mimi nashangaa ati wew kuumwa ni kumkimbia??Nilimkimbia lini mimi naona natafutiwa sababu najuta kulog in kuja kuwasalimia
Utanielewa tu.Mmh bado sijakuelewa
Pole dadahapana mautani yaliyovuka mpaka sio mazuri