Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Utakuja kwenye mahafali ankali??Katibu wa weka picha
Naona anakaribia kumaliza masomo yake
Utakuja kwenye mahafali ankali??Katibu wa weka picha
Naona anakaribia kumaliza masomo yake
Aisee hivi huyu Cobblepots yuko wap?! naye alikuwa analeta sindano za moto sana!Ni km kipindi kile alikuwepo MALCOLM LUMUMBA(Cobrepots) alikuwa akituburudisha usiku wewe asubuhi
Usiku Mwema
.........
Aliaga harusi tena JFAisee hivi huyu Cobblepots yuko wap?! naye alikuwa analeta sindano za moto sana!
Ni kweli kabisaKwa mujibu wa mwenyekiti ni kuwa ulikuwa masomoni Israel, naona umemaliza Hongera sana
DahNi km kipindi kile alikuwepo MALCOLM LUMUMBA(Cobrepots) alikuwa akituburudisha usiku wewe asubuhi
Usiku Mwema
.........
Usiwe unapotea tena siku nyingine sasaMusso yani sio kupotea mtaa huu tu...JF kwa ujumla sikuwepo siku mingi tu. Nimefanya kuidownlod leo aisee.

DahAliaga harusi tena JF
Uzi upo Chit Chat utafute sijui unaitwa "Kwaherini JF"
.........
Merudi for good...i hopeUsiwe unapotea tena siku nyingine sasa![]()
![]()

Nitakuja ankali wanguUtakuja kwenye mahafali ankali??
Karibu sanaMerudi for good...i hope![]()
Nawe pia angazaUsiku mwema jamani sijawasahau
AyaaaAliaga harusi tena JF
Uzi upo Chit Chat utafute sijui unaitwa "Kwaherini JF"
.........
Hapo sawaNitakuja ankali wangu
Ushatusahau bana. Mtu mwenyewe kuonekana hapa ni kwa kuibia ibia. Anyway, Good night...!Usiku mwema jamani sijawasahau
Anasemaje![]()
![]()
![]()
![]()
Karibu tena. Uliondoka kabla sijawa mwenyeji sana hapa Makapuku. Wakati ule nilikuwa nachungulia tu na kupotezea. Kamwe sikuota kuwa siku moja patakuja kuwa kimbilio langu la kuondoa stress na kujifunza mambo mbalimbali kuanzia historia (Dikteta Mussolini anatusomesha sawa sawa), muziki (tunafundishwa na Obe), Habari za magazetini (Shululu), top ten pamoja na Je Wajua (Madenge na makapuku wengineo), Mambo ya imani (Mtumishi Blessed Hope anahakikisha hatuendi motoni), Ulimbukeni wa Mapenzi (Shedede na "mkewe") pamoja na utani na vichekesho visivyo na mwisho kutoka kwa akina Shunie, Husna, Tumosa, Sakayo na mumewe) na makapuku wengine.Ni kweli kabisa
Sasa nasubiria mahafali tu ambayo naamini wote mtashiriki
Umeruhusu mlinzi akaozwa ndoa ya mkeka sasa waifu kapotea. Japo mlinzi yule alikuwa bomu na mtoro lakini alikuwa anasaidia saidia.bhinamu nisamehe kwa niaba ya kapuku wote ..yaani hapa ndo nimepata upenyo wa kulala kidogo nikapita kwa familia yangu pendwa
shangazi yako sijiu aliyemtolea ya moyoni kule ndo kamficha wala sielewii ,,