Muwe na usiku mwema !!!
Tuko pamoja Madenge. Siku hizi nimeshakujulia wala hunisumbui tenaMkuu nilifupisha habari halafu nikaongezea mbwembwe
Majimbo zaidi ya 20 yamehalalisha bangi ila km ulivyofafanua ni kwa ushauri wa kidaktari nskubali ulivyoelezea kiundani
Naedit kidogo tu
...........


...


BHINAMUUUUUUU........heshima yako..nawe pia.
BHINAMUUUUUUU........heshima yako
Ulitekwa na ali shababu au faiza shabibi???Jaman mkongo...sio kwa kukumiss huku Lol![]()
Ni huyo anayetaka muandae kolabo....ni yule anayetaka tuandae kolabo? Au ni BH?
Mkuu tunajuana wenyeweTuko pamoja Madenge. Siku hizi nimeshakujulia wala hunisumbui tena...
Marekani bangi ni biashara kubwa at a federal level. Ukienda magerezani huko wamejaa weusi na minorities wengine; na makosa yao mengi ni madawa ya kulevya lakini ukichunguza vizuri ni bangi. Msokoto mmoja mtu anakula mvua tatu na akitoka hapo ana rekodi ya u-criminal. Hawezi kupiga kura, kwenda college au kupata kazi. Basically s/he is done!
Mbali na magereza ya serikali za miji, majimbo na serikali kuu, magereza mengi yanamilikiwa na makampuni binafsi na ni biashara ya mabilioni kwa mwaka. Utakuta wanasiasa, hasa hawa wa kihafidhina, wana hisa zao kwenye makampuni haya yanayoendesha magereza binafsi na kila miswada ya kuhalalisha bangi katika level ya federal government inapokuja kwenye congress basi wanaipiga chini kwa sababu bangi ikihalalishwa maana yake kuna hatari ya wafungwa kupungua magerezani. Na hii ni hasara kwao. Mbali na kuwa ni biashara lakini pia ni mechanism nzuri tu ya kuendelea kuwadidimiza watu weusi kiuchumi, kijamii na kimaendeleo. Wachambuzi wengi wanaamini kwamba hii ndiyo sababu hasa bangi haijahalalishwa katika federal level. Ukisikia matatizo ya kimfumo ndiyo haya sasa. Ndiyo maana weusi na minority wengine wanaonekana kama vile wameshonwa kwenye vicious cyle ya poverty, drugs, jail. Sijui watajitanzua lini![]()
Kila binadamu anaAwesome!
Nimewahi kusoma pia, na kiasi nikakubaliana na ile study ya kisayansi kuwa muziki unamsaidia mtu kufikiri na kuchochea 'bongo' na mtu anayepiga chombo cha muziki basi anakuwa na uwezo mkubwa sana katika kubuni vitu kadhaa.
'Wenzetu' muziki ni somo kubwa na linaheshimiwa sana kiasi kwamba kama darasa la mwanao linatumbuiza basi wazazi angalau wote hujitokeza na kwenda shuleni kuangalia 'pafomance'. Hii kwetu haipo, mtoto akiwa kwenye 'kwaya' mzazi/mlezi haoneshi shauku ya kumsapoti kwa kumnunulia sare, vifaa vinavyohitajika vya ziada na mambo kama hayo.
FYI, study nyingine inaonesha kuwa mgonjwa anayejiandaa kwa upasuaji akisikilizishwa muziki kabla, msongo hupungua sana.
Asante kwa somo la hicho kipindi ulichosikiliza
waves zake, kwa hiyo music kwa watoto ni muhimu sanaKwa kwa kwa!Ulitekwa na ali shababu au faiza shabibi???

Pamoja nawe piaUsiku mwema wakuu
bhinamu nisamehe kwa niaba ya kapuku wote ..yaani hapa ndo nimepata upenyo wa kulala kidogo nikapita kwa familia yangu pendwaAnko mbona unakuja kwa kuviziavizia?
Nimekumiss sana. Aunt kaibiwa simu?
Long time no see!!Muwe na usiku mwema !!!
Upo wewe, dah Umepotea sanaMuwe na usiku mwema !!!
Pamoja nawe pia
Umeisha aiseeHebu tuongee kidogo
Ubize umeisha?
........