Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hii itakuwa poa sana mdau, napenda oldies pia. Jukwaa litachangamka sana.

Utakuwa unapandisha siku gani, au siku zote za juma. Naweza kuwa natupiatupia kama utakuwa na uchaguzi wa siku ili tuifanye iwe ya kipekee zaidi
Mkuu huyo hutupiaga asubuhi
Wewe usiku
Hivyo wote fanyeni mambo
Sioni tatizo lolote sanasana ndo burudani itaongezeka
Hivyo endelea usiache
.......
 
Hii itakuwa poa sana mdau, napenda oldies pia. Jukwaa litachangamka sana.

Utakuwa unapandisha siku gani, au siku zote za juma. Naweza kuwa natupiatupia kama utakuwa na uchaguzi wa siku ili tuifanye iwe ya kipekee zaidi
Mi mambo yangu ni weekend ! Jumamosi na Jumapili mchana mchana na Jioni. Yeah jukwaa huwa linanoga sana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom