Makapuku Forum

Makapuku Forum

1/Marekani
0ba3b6be7e6ea8dc061b81c0fd634ba3.jpg
e4b8bdfb258f5ee39c0a8a5b2687e389.jpg

Hata Barack Obama ujanani alipuluza sigara kubwa
Kwenye majimbo zaidi ya 20 nchini Marekani juvuta bangi ni halali unapuliza Moshi kwa raha zako hadi mapafu yapasuke
Wamarekani 14% ni wavuta bangi ambayo ni sawa na watu milioni 44
.
.
.
.
.
Ahsanteni kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
............
.
Asante kwa kumi kubwa za bitoz jioni ya leo
 
Muziki ni Kujiamini
Habari za kushinda Makapuku wenzangu, bila kujali kama ni mbaya au nzuri tukae tukijua kuwa jua litakucha tena na kesho ni siku nyingine.

Niliwamiss humu, nilipatwa na changamoto ya mwili na teknolojia nikashindwa kupost chochote humu, ila nashukuru macho yalikuwa timamu, nilisoma magazeti shululu , nikafuatilia historia na picha Mussolin5 na Bitoz , nikafuatilia UF, sala BlessedHope , soka na Nyagei na michango ya makapuku wote ambao kuwepo kwenu humu huifanya siku yangu (yes, hizi siku mbili tatu sikuwa kwenye siku zangu, period.) kuwa nzuri sana.

Turudi sasa kwenye kale kakipengele kadogo ka nyuzi za gitaa, muziki ni kujikubali. Leo tutakuwa kidogo kwa majirani zetu hapo Kenya. Kumekuwa na wapiga muziki maarufu Kenya na kuna band ambazo nilikuwa nazipenda kusikiliza enzi zile za santuri, Katitu Band (hawa waliongoza kwa kupiga gitaa la 'fujo' mwanzo mwisho, utawapenda, na bendi kadhaa.

Leo siongelei band, namuongelea Michael Ongaro, yes, sio maarufu sana maana hatujataka kuwapa umaarufu wanamuziki wa band zetu, na hasa wapiga vyombo.

Nilimuona kwenye kipindi cha TV na akanivutia namna anavyodonoa gitaa lake la nyuzi sita, akichanganya mipigo ya Jazz, Reggae na Kikongo.

Kama ilivyo kwa stivie wonder, Michael Ongaro ana ulemavu wa macho na kubwa zaidi ni mhanga wa saratani lakini hivi vyote havijamlemaza akae tu na kusubiri huruma za 'wasamaria wema'. Muziki ni kujiamini, udhaifu wako hauwezi kuzuia nguvu na kipaji ulichonacho.

Muangalie kwenye clip hii ya YouTube uone anavyocharaza gitaa lake kwa umahir mkubwa.

Hadi wakati mwingine. Love

1/Marekani
0ba3b6be7e6ea8dc061b81c0fd634ba3.jpg
e4b8bdfb258f5ee39c0a8a5b2687e389.jpg

Hata Barack Obama ujanani alipuluza sigara kubwa
Kwenye majimbo zaidi ya 20 nchini Marekani juvuta bangi ni halali unapuliza Moshi kwa raha zako hadi mapafu yapasuke
Wamarekani 14% ni wavuta bangi ambayo ni sawa na watu milioni 44
.
.
.
.
.
Ahsanteni kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
............
.
Ahsante mkuu, tumekupata vyema.
 
Asante Obe, ila Kuna kapuku atakutafuta
 
1/Marekani
0ba3b6be7e6ea8dc061b81c0fd634ba3.jpg
e4b8bdfb258f5ee39c0a8a5b2687e389.jpg

Hata Barack Obama ujanani alipuluza sigara kubwa
Kwenye majimbo zaidi ya 20 nchini Marekani juvuta bangi ni halali unapuliza Moshi kwa raha zako hadi mapafu yapasuke
Wamarekani 14% ni wavuta bangi ambayo ni sawa na watu milioni 44
.
.
.
.
.
Ahsanteni kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
............
.
Hapana! Sehemu nyingi ni lazima uwe na kibali cha daktari. THC iliyoko kwenye bangi ni pain killers nzuri kwa wenye maumivu sugu; na baadhi ya wagonjwa wa kansa hasa wale ambao wanasumbuliwa na side effects mbaya za chemotherapy hasa kutapika, bangi huwa inawasaidia sana. Recreational use bado ni tatizo sehemu nyingi na ukizidisha gram zilizoruhusiwa ama unapigwa faini au unakwenda ndani. Isitoshe katika federal level bangi bado ni illegal marekani nzima na kwa kuwa sheria za serikali kuu ndizo sheria mama wanaume wa Drug and Tobbaco Enforcement wanaweza kukukamata wakati wo wote hata kama unaishi kwenye majimbo ambako bangi imeruhusiwa kama Colorado na California.
 
Muziki ni Kujiamini
Habari za kushinda Makapuku wenzangu, bila kujali kama ni mbaya au nzuri tukae tukijua kuwa jua litakucha tena na kesho ni siku nyingine.

Niliwamiss humu, nilipatwa na changamoto ya mwili na teknolojia nikashindwa kupost chochote humu, ila nashukuru macho yalikuwa timamu, nilisoma magazeti shululu , nikafuatilia historia na picha Mussolin5 na Bitoz , nikafuatilia UF, sala BlessedHope , soka na Nyagei na michango ya makapuku wote ambao kuwepo kwenu humu huifanya siku yangu (yes, hizi siku mbili tatu sikuwa kwenye siku zangu, period.) kuwa nzuri sana.

Turudi sasa kwenye kale kakipengele kadogo ka nyuzi za gitaa, muziki ni kujikubali. Leo tutakuwa kidogo kwa majirani zetu hapo Kenya. Kumekuwa na wapiga muziki maarufu Kenya na kuna band ambazo nilikuwa nazipenda kusikiliza enzi zile za santuri, Katitu Band (hawa waliongoza kwa kupiga gitaa la 'fujo' mwanzo mwisho, utawapenda, na bendi kadhaa.

Leo siongelei band, namuongelea Michael Ongaro, yes, sio maarufu sana maana hatujataka kuwapa umaarufu wanamuziki wa band zetu, na hasa wapiga vyombo.

Nilimuona kwenye kipindi cha TV na akanivutia namna anavyodonoa gitaa lake la nyuzi sita, akichanganya mipigo ya Jazz, Reggae na Kikongo.

Kama ilivyo kwa stivie wonder, Michael Ongaro ana ulemavu wa macho na kubwa zaidi ni mhanga wa saratani lakini hivi vyote havijamlemaza akae tu na kusubiri huruma za 'wasamaria wema'. Muziki ni kujiamini, udhaifu wako hauwezi kuzuia nguvu na kipaji ulichonacho.

Muangalie kwenye clip hii ya YouTube uone anavyocharaza gitaa lake kwa umahir mkubwa.

Hadi wakati mwingine. Love

Pole na changamoto ya afya na asante kwa burudan
 
Mkuu Obe. Jana nilikuwa namsikiliza Morgan Freeman kwenye finale ya kipindi chake cha kisayansi cha Through the Wormhole With Morgan Freeman. Alikuwa anaripoti kuhusu uwezekano wa kumfanya kila binadamu kuwa jiniazi kama akina Einstein, Newton, Maxwell, Fermi, Archimedes, Mendeleev, Da Vinci, Currie na magwiji wengine wa sayansi. Mojawapo ya njia ya uhakika iliyothibitishwa kisayansi ili kuimarisha akili za mtoto ni muziki. Wanasayansi wanasema kwamba watoto waanze kusikilizishwa muziki tangu wakiwa tumboni na wapate mafunzo ya muziki wakiwa bado watoto. Kuna uhusiano mkubwa kati ya mifumo mingi ya kimaumbile, mfumo wa muziki na hisabati. Ndiyo maana karibu majiniazi wengi walikuwa kwa namna moja au nyingine wapenzi wa muziki. Einstein alipokwama katika mahesabu yake mahali pa kukimbilia ilikuwa ni piano yake; na anasema kwamba alipocheza piano katika sehemu tulivu basi aliona vitu vinafunguka na kujidhihirisha zaidi. Kanuni ya Pythagoras pia ni kanuni ya kimuziki na hata pai inasemekana asili yake ni katika muziki.

Ngoja niishie hapa nisije nikaambiwa kwamba Msukuma naandika sana. I just wanted to draw your curiosity to this scientifically proven relationship between music and abstract thinking!
 
Mkuu nilifupisha habari halafu nikaongezea mbwembwe
Majimbo zaidi ya 20 yamehalalisha bangi ila km ulivyofafanua ni kwa ushauri wa kidaktari nskubali ulivyoelezea kiundani
Naedit kidogo tu
...........
 
Muziki ni Kujiamini
Habari za kushinda Makapuku wenzangu, bila kujali kama ni mbaya au nzuri tukae tukijua kuwa jua litakucha tena na kesho ni siku nyingine.

Niliwamiss humu, nilipatwa na changamoto ya mwili na teknolojia nikashindwa kupost chochote humu, ila nashukuru macho yalikuwa timamu, nilisoma magazeti shululu , nikafuatilia historia na picha Mussolin5 na Bitoz , nikafuatilia UF, sala BlessedHope , soka na Nyagei na michango ya makapuku wote ambao kuwepo kwenu humu huifanya siku yangu (yes, hizi siku mbili tatu sikuwa kwenye siku zangu, period.) kuwa nzuri sana.

Turudi sasa kwenye kale kakipengele kadogo ka nyuzi za gitaa, muziki ni kujikubali. Leo tutakuwa kidogo kwa majirani zetu hapo Kenya. Kumekuwa na wapiga muziki maarufu Kenya na kuna band ambazo nilikuwa nazipenda kusikiliza enzi zile za santuri, Katitu Band (hawa waliongoza kwa kupiga gitaa la 'fujo' mwanzo mwisho, utawapenda, na bendi kadhaa.

Leo siongelei band, namuongelea Michael Ongaro, yes, sio maarufu sana maana hatujataka kuwapa umaarufu wanamuziki wa band zetu, na hasa wapiga vyombo.

Nilimuona kwenye kipindi cha TV na akanivutia namna anavyodonoa gitaa lake la nyuzi sita, akichanganya mipigo ya Jazz, Reggae na Kikongo.

Kama ilivyo kwa stivie wonder, Michael Ongaro ana ulemavu wa macho na kubwa zaidi ni mhanga wa saratani lakini hivi vyote havijamlemaza akae tu na kusubiri huruma za 'wasamaria wema'. Muziki ni kujiamini, udhaifu wako hauwezi kuzuia nguvu na kipaji ulichonacho.

Muangalie kwenye clip hii ya YouTube uone anavyocharaza gitaa lake kwa umahir mkubwa.

Hadi wakati mwingine. Love

Pamoja sana mkuu
........
 
Mkuu Obe. Jana nilikuwa namsikiliza Morgan Freeman kwenye finale ya kipindi chake cha kisayansi cha Through the Wormhole With Morgan Freeman. Alikuwa anaripoti kuhusu uwezekano wa kumfanya kila binadamu kuwa jiniazi kama akina Einstein, Newton, Maxwell, Fermi, Archimedes, Mendeleev, Da Vinci, Currie na magwiji wengine wa sayansi. Mojawapo ya njia ya uhakika iliyothibitishwa kisayansi ili kuimarisha akili za mtoto ni muziki. Wanasayansi wanasema kwamba watoto waanze kusikilizishwa muziki tangu wakiwa tumboni na wapate mafunzo ya muziki wakiwa bado watoto. Kuna uhusiano mkubwa kati ya mifumo mingi ya kimaumbile, mfumo wa muziki na hisabati. Ndiyo maana karibu majiniazi wengi walikuwa kwa namna moja au nyingine wapenzi wa muziki. Einstein alipokwama katika mahesabu yake mahali pa kukimbilia ilikuwa ni piano yake; na anasema kwamba alipocheza piano katika sehemu tulivu basi aliona vitu vinafunguka na kujidhihirisha zaidi. Kanuni ya Pythagoras pia ni kanuni ya kimuziki na hata pai inasemekana asili yake ni katika muziki.

Ngoja niishie hapa nisije nikaambiwa kwamba Msukuma naandika sana. I just wanted to draw your curiosity to this scientifically proven relationship between music and abstract thinking!

Awesome!

Nimewahi kusoma pia, na kiasi nikakubaliana na ile study ya kisayansi kuwa muziki unamsaidia mtu kufikiri na kuchochea 'bongo' na mtu anayepiga chombo cha muziki basi anakuwa na uwezo mkubwa sana katika kubuni vitu kadhaa.

'Wenzetu' muziki ni somo kubwa na linaheshimiwa sana kiasi kwamba kama darasa la mwanao linatumbuiza basi wazazi angalau wote hujitokeza na kwenda shuleni kuangalia 'pafomance'. Hii kwetu haipo, mtoto akiwa kwenye 'kwaya' mzazi/mlezi haoneshi shauku ya kumsapoti kwa kumnunulia sare, vifaa vinavyohitajika vya ziada na mambo kama hayo.

FYI, study nyingine inaonesha kuwa mgonjwa anayejiandaa kwa upasuaji akisikilizishwa muziki kabla, msongo hupungua sana.

Asante kwa somo la hicho kipindi ulichosikiliza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom